Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

Walikuwa bado hawajazika walikuwa wameuhifadhi sehemu huo mzoga wake!! Huku wakitafuta vipande vyake vingine waliogopa kumzika nusu nusu sasa wamevipata vipande vyote ndipo wa kaamua kumzika leo hii!!
Shahidi Nasralah alipigwa mabomu tani 80 yaliyosambaratisha jengo zima lakini hakutoka hata kovu zaidi ya kufariki kwa presha ya kishindo kile akiwa katka Banka lake na mpaka leo anaenda kuzikwa taarifa zinasema mwili wake ukiona kama amelala tu na unakia vizuri tu
 
Siku nyingi sana umekuwa na kiherehere sana kuhusu Palestine kana kwamba Unaijua kumbe unaongozwa na mihemko tu ya dini yako ambao wamekudanganya. Mbaya zaidi umesoma elimu ahera ukaacha Elimu Dunia ambayo ingekuondolea ujinga ulionao sasa nikuombe tu unijibu maswali yangu hayo hapo chini wata fugę na Wafuga Midevu na Majini wenzako wakusaidie kujibu.
 

Attachments

  • IMG_1598.jpeg
    1.3 MB · Views: 2
Ayatollah Mjanja sana hakuwepo alituma tu mwakilishi!!!
Ayatollah ni mzee wa miaka 86 pia ana mkono mbovu baada ya promise tuu alisalisha sala ya Ijumaa hadharani Netanyahu knows who he is they wish him death every minute saivi Yemen anapiga tel viv Km zaidi ya 2000 bila hata kugusa nzi asiye husika kazi ya mwamba hio na hawana cha kumfanya.
 
Acha ujinga usituletee hapa Hadithi za Abunwas huo mwili wewe Mmatumbi mwenzangu umeuona wapi? Yaani unaambiwa na unaamini!! Ndiyo maana Manadanganywa kuwa ukifa Unafanya ugaidi unakabidhiwa Manikira 72 uwabikiri na kwa sababu mnapenda ngono mnashobokea tu.
 
Nimesoma sana elimu dunia na bado nasoma lakini hakuna cha maana kwenye elimu dunia kinachozidi elimu akhera, wasomi wa elimu dunia ndio wajinga kuliko maelezo nimesoma ili watu kama nyie msinipigie kelele lakini faida niliyoipata kwa elimu ya dini hailezeki na ninasolve 90% ya matatizo yangu kupitia elimu akhera na dunia ni just 10% tu
 
Saidi mwili wake ulitolewa katka mita 40 chini ukiwa mzima
 
Acha hizo mbwembwe unaishi kuibia waislamu wenzako? Niko pale kwa mangi nakunywa ka hawa chungu na kashata nijibu Maswali yangu nasubiri!!
 
Acha hizo mbwembwe unaishi kuibia waislamu wenzako? Niko pale kwa mangi nakunywa ka hawa chungu na kashata nijibu Maswali yangu nasubiri!!
Msomi wa elimu dunia anasoma ili awe na maisha mazuri gari kali, nyumba kali demu mkali nk huo si wenda wazmu
 
Uliambiwa wapi vita ina mlengo wa kidini ,nyie mnafirikia wapalestina ni waislamu [emoji1787][emoji1787]mnaogopa Israel anaweza kudundwa maana mnaamini ni taifa teule ....Wabongo kwa ushabiki hamjambo.
Sasa mbona unajijibu mwenyewe upuuzi wako wewe ndio unauliza mnawatetea wayahudi sio wakristo
 
Palestine mimi naitambua katika aya hii
Quran 17:1 Subhana ametakasika aliye mchukua mja wake katoka msikiti mtukufu mpaka msikiti wa mbali(Al Aqsa-jerusalem) Ambao tumeubariki vilivyouzunguka.....
 
Duh? 😄
 
Kwa hiyo?
Fucking second hand nonsense
 
Wewe wauliza mimi nimeona wapi, endelea kushobokea singeli mimi nashobokea alie niumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…