Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Sasa kijana kama unasema Iran 🇮🇷 ana silaha hatari sana kuliko nuclear weaponsSwali hilo la kitoto sana Israel does not have the capacity to destroy Iran's nuclear program without American assistance, including midair refueling and the bombs. Iran akiwahi kumtandika Israel kwenye hizo Nuclear weapon si ndio itakuwa fuel kabisa hahaha. Hivi we unadhani Nuclear head nikama mawe mtu akikupiga unarusha jiwe pale pale hahaha. Afu usisahau Iran ana silaha hatari sana kuliko hizo Nuclear akizitumia hapo Middle East kutakuwa hakuna taifa linaitwa Israel.
Iran hana shida na Nuclear angekuwa na shida nayo we unadhani sa hivi angekuwa na Nuclear ngapi. Wachina wanasema kutokana na experience zao Iran akitaka kuwa na Nuclear ni mda wa week mbili au tatu anahitaji. Iran anahitaji Nuclear sio kwa ajili ya vita kwa matumizi mingi sana we unadhani kuwa na Nuclear ni kwa ajili ya vita tu hahaha.Sasa kijana kama unasema Iran 🇮🇷 ana silaha hatari sana kuliko nuclear weapons
Swali je kwanini anahangaika kurutubisha uranium si atumie hizo silaha hatari kuifuta Israel 🇮🇱?
Unaandika haya ukiwa wapiIran hana shida na Nuclear angekuwa na shida nayo we unadhani sa hivi angekuwa na Nuclear ngapi. Wachina wanasema kutokana na experience zao Iran akitaka kuwa na Nuclear ni mda wa week mbili au tatu anahitaji. Iran anahitaji Nuclear sio kwa ajili ya vita kwa matumizi mingi sana we unadhani kuwa na Nuclear ni kwa ajili ya vita tu hahaha.
View: https://youtu.be/pqREmnvCACA?si=Zi9ut7NLyYh0pQUr
Sababu wanayo,Nia wanayo lakini uwezo wao mdogo ndio kikwazo hasa kinachowakosesha ujasiri wakuivamia Iran. Tunasikia namna wanavyowanyanyasa hao wanaowaita maadui zao huko Gaza, Syria,Iraq,Yemen na hata lebanoon, hawaongei wakarudia, wao wanaangamiza tu kila kitu, basi ni kipi kinachowafanya wasitesite kwa Iran!?Hii vita mzayuni hawezi kuipigana anajua madhara kile kipindi Iran imerusha vitu 300 angani ilikuwa ni chanzo cha vita tosha lkn
Mzayuni akatuma vitoto vya droni kuepusha vita anabweka tu kumchochea marekani
Kwahiyo sasa hivi kishamalizana na Houth wa Yemen!?Kipindi kile Yahudi alikuwa bado hajamalizana na kundi la kigaidi la Hezbollah
Vikundi vyote vya magaidi kwa sasa ni kama kuku aliyekatwa kichwa tayariKwahiyo sasa hivi kishamalizana na Houth wa Yemen!?
Nipo mjini🤣Unaandika haya ukiwa wapi
Upuuzi mtupu umeandika hapa kalale sasaVijana wanaopokezana bunduki AK47, wanatengeneza milipuko kwa kutumia sukari hapo Gaza ambayo imezungukwa pande zote na mipaka kufungwa na IDF wanawapelekesha mwaka wa pili huu wameshindwa kuwadhibiti... watakuja kupambana na Iran?
Israel wakati mzuri wa kupiga vinu vya nuclear vya Iran ilikuwa ni wakati ule Iran anawapiga mara mbili kwa vitu vizito (True promise one & two), lakini kwa aibu kubwa baada ya kukaa vikao na kujitafakari kwa muda mrefu wakaja kujibu kinyonge wakirusha ndege zao wakiishia Iraq...
Israel si ana nguvu, ilipaswa apige airports kama afanyavyo Yemen, angepiga miundombinu ya mafuta ya Iran, halafu akapiga hata maeneo ya kiuchumi..
Hizi siasa za mashariki ya kati nimechambua miaka mingi nyuma humu kwenye ID yangu nyingine... na kila nilichoandika ndicho kinatokea, tuache ushabiki, propaganda na mihemko ya kidini... Israel haina uwezo kupambana na Iran..
Israel inachofanya ni kuishinikiza US iingie front kupambana na Iran...
Head of KobaziNasubiri sana kwa hamu, Iran ndio kubwa la makobaz, siku itatulizwa ndio makobaz yatakaa kwa kutulia na kuacha ugaidi.
Hakutakuwa na vita.Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.
Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!
“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!
Wadada wanaovaaga hivi viatu muda mrefu wanakuaga na kitu tight sanaa.Unavijua viatu vya skuna?
View attachment 3362840
🤣🤣kmmk
Huyo ndio vigumu zaidi kumdhibiti, ni kheri wangemchinja kabisa kuliko kumweka jeraha shingoni!.Vikundi vyote vya magaidi kwa sasa ni kama kuku aliyekatwa kichwa tayari