Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi .
Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin ameshatangaza kuwa kitendo cha Ukraine kushambulia urusi kwa makombora ya Masafa marefu ni kutangaza vita ya Moja kwa Moja na NATO na uamuzi sahihi wa kushughulikia suala hilo utafanywa kwa haraka sana.
Kwa sasa marekani Bado haijatoa msimamo wake juu ya matumizi ya silaha zake huko Ukraine huku wakisisitiza Bado msimamo wake wa awali wa kutoiruhusu Ukraine kushambulia urusi ndani ya mipaka yake kwa silaha za marekani unaendelea.
Katika Hali nyingine mwanachama mwengine wa NATO nchi ya Italy imeiambia Ukraine kuwa silaha zake hazitaruhusiwa kushambulia ndani ya mipaka ya nchi ya Russia.