Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

Ndege Vita za Russia ndani ya saa 48 katika ya pwani ya Marekani na Canada. USA alalamikia Uchokozi wa Russia

ila mimi natamani marekani atwangwe haswaaa ili ikifika siku wananchi wana amua marekani kutoa msaada wa kupigwa watu wengine wawe wanayajua machungu ya vita
Ili hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.

Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
 
Ujerumani ameungana na Italia kuwa msimamo wake ni kutoruhusu silaha zake za Masafa marefu kutumiwa na Ukraine ndani ya territory ya Urusi. NATO imegawanyika Poland nae hataki. Uingereza amekwenda kumuomba marekani waruhusu marekani anasema msimamo wake upo pale pale hawezi kuruhusu. Ukraine Bado anasubiri maamuzi ya wakubwa zake. Urusi anasema semeni suuuuuuuuuu awaoneshe.😂🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Screenshot_20240914-103017.png
 
Marekani na uingereza Wanaendelea na mashauriano hawajui la kufanya .
Screenshot_20240914-104229.png
huku katibu mkuu wa NATO akibadili GIA angani na kusema kuwa vita hii itamalizwa kwa majadiliano tu. Urusi amesema kwa sasa hataki mjadala na Ukraine juu ya kumaliza hii vita. Russia🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Ili hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.

Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
China iliyoogopa kuchukua hatua Taiwan kwa spika wa bunge la Marekani
 
China iliyoogopa kuchukua hatua Taiwan kwa spika wa bunge la Marekani
Diplomasia haiendi hivyo kijana.
China haina sovereignty ya kuitawala Taiwan.
Alichofanya Nancy Pelosi Taiwan KAMWE HAWEZI KUKIFANYA HONG KONG.
USA huyo huyo alitaka kuingilia mgogoro wa South China sea na visiwa vya Phillipines vilivyochukuliwa na China.
Mwishowe katishiwa na mazoezi ya Dongfeng ballistic missiles mbaka leo hajakanyaga South China sea.
Narudia kusisitiza Taiwan haipo katika sovereignty ya China kama ilivyo Hong Kong.
Subiri China waichukue halafu uone kama USA itashoboka.
 
Kama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.
Huna hoja wewe kagonge kichwa chini tu hamna unachofahamu hapo.
 
Diplomasia haiendi hivyo kijana.
China haina sovereignty ya kuitawala Taiwan.
Alichofanya Nancy Pelosi Taiwan KAMWE HAWEZI KUKIFANYA HONG KONG.
USA huyo huyo alitaka kuingilia mgogoro wa South China sea na visiwa vya Phillipines vilivyochukuliwa na China.
Mwishowe katishiwa na mazoezi ya Dongfeng ballistic missiles mbaka leo hajakanyaga South China sea.
Narudia kusisitiza Taiwan haipo katika sovereignty ya China kama ilivyo Hong Kong.
Subiri China waichukue halafu uone kama USA itashoboka.
Ataichukua karne gani na kwa nini asiichukue sasa.
 
[
="Kosugi, post: 51407575, member: 565770"]
Nimemsahau ghafla doooh.
North Korea.

[/QUOTE]
Umemsahau mtu muhimu sana aliepelekea misafara wa melivita na aircraft carriera za Marekani zikapiga U turn kurudi zilikotoka wakati trump alipokua Rais na badala yake trump akaomba mazungumzo na Dogo 😀ambae baadae akaenda kwenye mazungumzo na choo chake binafsi😂🤣huko Indonesia.
 
Ili hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.

Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
Vipi kuhusu North Korea, Indonesia?
 
Kama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.
Usiwe mbishi unapoelekezwa, badala ya kuwa mwepesi wa kuleta habari ambazo hauzielewi au haujazielewa.
Inaonekana sheria za mipaka hata hauzielewi.
nimekuwekea picha inayoonyesha ramani mpaka wa bahari kati ya US na Russia. Unatakiwa urlewe US na Russia ni majirani. Hiyo Njano nu US na hiyo nyekendu ni Russia
IMG_2840.jpeg
 
Back
Top Bottom