The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Kuwait kwa mbali na U.A. EUarabuni toa SAUD ARABIA, QARTAR, OMAN BAHRAIN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwait kwa mbali na U.A. EUarabuni toa SAUD ARABIA, QARTAR, OMAN BAHRAIN
Waamerika wana upuuzi kama ilivyo rafiki zao wana upuuzi mwingi kama watekaji ,watesaji na wauwaji wa siku hizi wa pande zetu,acha wanyooshwe na huyo mwamba.Saa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi .
Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin ameshatangaza kuwa kitendo cha Ukraine kushambulia urusi kwa makombora ya Masafa marefu ni kutangaza vita ya Moja kwa Moja na NATO na uamuzi sahihi wa kushughulikia suala hilo utafanywa kwa haraka sana.
Kwa sasa marekani Bado haijatoa msimamo wake juu ya matumizi ya silaha zake huko Ukraine huku wakisisitiza Bado msimamo wake wa awali wa kutoiruhusu Ukraine kushambulia urusi ndani ya mipaka yake kwa silaha za marekani unaendelea.
Katika Hali nyingine mwanachama mwengine wa NATO nchi ya Italy imeiambia Ukraine kuwa silaha zake hazitaruhusiwa kushambulia ndani ya mipaka ya nchi ya Russia.
View attachment 3095340
Nilichotaka utambue ni kwamba wakati wewe unachagua mlengo fulani. Basi wao wanaendelea kushirikiana. Adui wa Mwafrika ni Mwafrika mwenyeweKwahiyo ulitaka wapigane huko anga za mbali au
Mbona wanauana huko Ukraine?Nilichotaka utambue ni kwamba wakati wewe unachagua mlengo fulani. Basi wao wanaendelea kushirikiana. Adui wa Mwafrika ni Mwafrika mwenyewe
Kwanini hizo nchi ulizozitaja zisiivqmie marekani? Je Zinaogopa? Kwani Urusi Hana uwezo wa kuivamia marekani? Si nchi zao zimepakana? Kwanini asiivamie? Hizi nchi Zinaogopana mkuu lakini hakuna nchi ya bara la ulaya inayoweza kumudu vita na Urusi nasisitiza hakuna, lakini kwa marekani angalieni kwa jicho la tatu, Urusi anaogopa kushambulia nchi za NATO kwasababu ya marekani na sio nchi za ulayaIli hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.
Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
Mi Mwenyewe nilijiuliza hilo. Na zaidi sera ya Marekani masuala ya Anga ni Mambo nyeti ndio maana hata Elon Musk haruhusiwi kuajiri asiye Mmarekani.Mbona wanauana huko Ukraine
Sema Kila jambo linalo fanyika lishapangwa kitambo tu. Sisi bara la Giza tunakuwa hatujui. Na Nchi za magharibi hazipendi urusi awe kichwa Kwa namna yoyote Ile Ili wabaki wao Kwa wao.Mi Mwenyewe nilijiuliza hilo. Na zaidi sera ya Marekani masuala ya Anga ni Mambo nyeti ndio maana hata Elon Musk haruhusiwi kuajiri asiye Mmarekani.
Kama ukifuatilia toka kipindi cha nyuma Russia hana sababu ya kuivamia USA.Kwanini hizo nchi ulizozitaja zisiivqmie marekani? Je Zinaogopa? Kwani Urusi Hana uwezo wa kuivamia marekani? Si nchi zao zimepakana? Kwanini asiivamie? Hizi nchi Zinaogopana mkuu lakini hakuna nchi ya bara la ulaya inayoweza kumudu vita na Urusi nasisitiza hakuna, lakini kwa marekani angalieni kwa jicho la tatu, Urusi anaogopa kushambulia nchi za NATO kwasababu ya marekani na sio nchi za ulaya
Tafadhali ni wanaanga wawili wa Urusi na mmoja wa marekani aliyepewa lift kwenye Chombo cha Urusi kinaitwa Soyuz. Nilikua naweka record sawa tu mkuu.Juzi wanaanga wawili wa Marekani na Mmoja wa Urussi wamesfiri safari ya pamoja ya ushirikiano.
Pole sanaKingereza ni kigumu sana.
Mleta mada katupiga changa la macho.Pole sana
Wazipige tu tujue nani mbabeSaa 48 zilizopita urusi amerusha ndege za kivita karibu na pwani ya Marekani na Canada kutokea baharini upande wa Jimbo la Alaska kitendo kilichoikasirisha sana marekani na kuita ni kitendo cha uchokozi kutoka kwa urusi .
Safari hii hii marekani ajiandae kuonja utamu wa vita. Rais Putin ameshatangaza kuwa kitendo cha Ukraine kushambulia urusi kwa makombora ya Masafa marefu ni kutangaza vita ya Moja kwa Moja na NATO na uamuzi sahihi wa kushughulikia suala hilo utafanywa kwa haraka sana.
Kwa sasa marekani Bado haijatoa msimamo wake juu ya matumizi ya silaha zake huko Ukraine huku wakisisitiza Bado msimamo wake wa awali wa kutoiruhusu Ukraine kushambulia urusi ndani ya mipaka yake kwa silaha za marekani unaendelea.
Katika Hali nyingine mwanachama mwengine wa NATO nchi ya Italy imeiambia Ukraine kuwa silaha zake hazitaruhusiwa kushambulia ndani ya mipaka ya nchi ya Russia.
View attachment 3095340
Tunatofatiana uelewa .Mleta mada katupiga changa la macho.
West wameshaufyata wanataka mazungumzo ya amani kumaliza vita.Wazipige tu tujue nani mbabe
Asipigwe ana nini?Russia hawezi kumpiga US
Marekani ni lidude fulani likubwa sana! Shida ya russia na nchi za kijamaa ni mikwara mingi!Asipigwe ana nini?
Ajaribu kama anaweza anaepiga mkwara hapo ni marekani. China yupo kamwambia Taiwan ni sehemu ya china na huwezi Fanya lolote huo siyo mkwara ni facts na hawezi kufanya lolote, Urusi hivo hivo, North Korea n.kMarekani ni lidude fulani likubwa sana! Shida ya russia na nchi za kijamaa ni mikwara mingi!
Umekula makande?Kama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.