Una tatizo la uelewa.Hii ndio shida ya kutumia google translator
Ingekua iko mbali ingeonekana na hiyo radar??Huna akili,soma vizuri huo mstari
The Aircraft remained in International waters and did not cross into U.S or Canadian airspace during their flight"
Ili hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;ila mimi natamani marekani atwangwe haswaaa ili ikifika siku wananchi wana amua marekani kutoa msaada wa kupigwa watu wengine wawe wanayajua machungu ya vita
China iliyoogopa kuchukua hatua Taiwan kwa spika wa bunge la MarekaniIli hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.
Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
Diplomasia haiendi hivyo kijana.China iliyoogopa kuchukua hatua Taiwan kwa spika wa bunge la Marekani
Huna hoja wewe kagonge kichwa chini tu hamna unachofahamu hapo.Kama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.
Ataichukua karne gani na kwa nini asiichukue sasa.Diplomasia haiendi hivyo kijana.
China haina sovereignty ya kuitawala Taiwan.
Alichofanya Nancy Pelosi Taiwan KAMWE HAWEZI KUKIFANYA HONG KONG.
USA huyo huyo alitaka kuingilia mgogoro wa South China sea na visiwa vya Phillipines vilivyochukuliwa na China.
Mwishowe katishiwa na mazoezi ya Dongfeng ballistic missiles mbaka leo hajakanyaga South China sea.
Narudia kusisitiza Taiwan haipo katika sovereignty ya China kama ilivyo Hong Kong.
Subiri China waichukue halafu uone kama USA itashoboka.
Kiduku.😄Ili hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.
Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
Nimemsahau ghafla doooh.Kiduku.😄
Ulitaka ichukue hatua Gani mfano.?China iliyoogopa kuchukua hatua Taiwan kwa spika wa bunge la Marekani
Juzi wanaanga wawili wa Marekani na Mmoja wa Urussi wamesfiri safari ya pamoja ya ushirikiano.Hizi vita asee. Sema Mimi nipo upande wa urusi hata kama iweje tumeshachoka unyanyasi wa marekani Kwa Nchi za Africa na uarabuni
Uarabuni toa SAUD ARABIA, QARTAR, OMAN BAHRAINHizi vita asee. Sema Mimi nipo upande wa urusi hata kama iweje tumeshachoka unyanyasi wa marekani Kwa Nchi za Africa na uarabuni
😂😂😂 imeingia hiyo pole sana mlokole.Huna hoja wewe kagonge kichwa chini tu hamna unachofahamu hapo.
Vipi kuhusu North Korea, Indonesia?Ili hilo limtokee avamie nchi zifuatazo yeye kama yeye kama alivyovamia Iraq ama Libya;
1)Russia.
2)China.
3)Iran.
4)Turkiye.
Avamie hizo nchi kijeshi kamili kama alivyovamia Iraq au Libya,uone USA watakavyotafutana.
Usiwe mbishi unapoelekezwa, badala ya kuwa mwepesi wa kuleta habari ambazo hauzielewi au haujazielewa.Kama ndege za Russia zimeweza kufika karibu na USA na Canada. International waters ni kasehemu kadogo sana " a thin line between life and death" waanzage kujiandaa tu vita ikianza kumalizia hiyo sehemu iliyobaki ni suala la sekunde kadhaa.
Kwahiyo ulitaka wapigane huko anga za mbali auJuzi wanaanga wawili wa Marekani na Mmoja wa Urussi wamesfiri safari ya pamoja ya ushirikiano.