K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 16,166 Reaction score 25,197 Sep 15, 2024 #81 ndammu said: Swala la Nancy nani ameanza kuliongelea na mimi nimeliongelea mara ngapi? Click to expand... Muulize mwenzako huko juu aliyedai China dhaifu kwa kuacha kuchukua hatua kwa Nancy. Na mimi nimempa mfano wa South china sea.
ndammu said: Swala la Nancy nani ameanza kuliongelea na mimi nimeliongelea mara ngapi? Click to expand... Muulize mwenzako huko juu aliyedai China dhaifu kwa kuacha kuchukua hatua kwa Nancy. Na mimi nimempa mfano wa South china sea.
ndammu JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 3,971 Reaction score 4,440 Sep 15, 2024 #82 Kosugi said: Muulize mwenzako huko juu aliyedai China dhaifu kwa kuacha kuchukua hatua kwa Nancy. Na mimi nimempa mfano wa South china sea. Click to expand... Sasa hiyo quote ya kusema namuongelea Nancy mda wote na siongei mengine imekujaje?
Kosugi said: Muulize mwenzako huko juu aliyedai China dhaifu kwa kuacha kuchukua hatua kwa Nancy. Na mimi nimempa mfano wa South china sea. Click to expand... Sasa hiyo quote ya kusema namuongelea Nancy mda wote na siongei mengine imekujaje?