Ndege vita za Saud-Arabia zimeshambulia vikosi vya Yemen kwa mara ya Pili!!!

Ndugu kwa ndugu

Hamwafahamu Waarabu!

Waarabu wanachukiana sana, tena kwa kiwango cha juu kuliko hao wanaoitwa makafiri. Waislam wa huku Afrika ndio waliopungukiwa ufahamu, wakiamini kuwa Waarabu kwa sababu wote ni waislam, basi wanapendana.

Kufanikiwa kwa Israel katika kupambana na maadui zake, kunasaidiwa sana na nchi za kiarabu, majirani zake.
UKWELI NI HUU:
1. Waislam wa madhehebu ya Shia, wanaamini waislam wa madhehebu ya Sunni ni makafiri kwa sababu hawafuati ile misimamo mikali ya washia.

2. Washia wanaamini kuwa nchi zote za waislam, Serikali lazima ziwe za kidini, na ziongozwe na washia.
3. Iran, chini ya Ayatollah, mpango ule wa kuanzisha makundi ya kigaidi, unalenga kutaka nchi zote za mashariki ya Kati, serikali zao ziwe za kidini na ziongozwe na washia. Matakwa hayo ya Ayatollah, yameifanya Iran pamoja na makundi yake kama Hamas, Hezbollah na Houthi, kuchukiwa na nchi zote za kiarabu.
4. Serikali zinazoongozwa na wasunni, zipo karibu sana na Israel kwa sababu zinaamini kuwa Israel ndiyo pekee inayoweza kuidhibiti Iran na makundi yake ya Kigaidi. Israel inapotaka kushambulia makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambazo Serikali zake zinaongozwa na wasuni, taarifa zote za kiintelijensia inasaidiwa na mataifa ya kiarabu. Serikali za mataifa kama Jordan, Lebanon, Saudi Arabia, UAE na Misri, ni marafiki wa Israel, wengine kwa siri, na wengine kwa kificho.
4. Huko Yemen, wanaoshambuliwa ni Wahouthi. Serikali ya wasuni umelegenzwa kiasi cha washia Hezbollah kuwa ndiyo wenye nguvu. Ikumbukwe Rais wa Yemen ambaye alikuwa wa Suni, aliuawa na Hezbollah wakidai kuwa ana urafiki na Ufaransa. Walimwua Rais, na hakuna aliyechukuliwa hatua yoyote. Hivyo kupigwa kwa Wahouthi inakuwa ni faraja kwa Serikali iliyodhoofishwa na makundi ya kigaidi ta Irani.
 
No Israel no news apo angakua yahudi Ndio anatembeza kichapo wale Islamist wangekua wamejaza seva za Jf now
 
Maandamano yatakuwa lini ?? Samia anadunda mitaani
 
Back
Top Bottom