Ndege vita za Saud-Arabia zimeshambulia vikosi vya Yemen kwa mara ya Pili!!!

Ukraine v urusi ni vijukuu vya herode au yesu?
Ukraine na Urusi ni makafiri ndio maana wana vita.

Saudi Arabia na Yemen ni waislamu ndio maana Vita yao watu wanashangaa sababu waislamu ni ndugu ni ustaraabu ni amani
 
Kwani Urusi na Ukraine ni wa dini ya vita ?? ndio wakatwangana ???

By the way kule Haiti, Congo ni wa dini ya vita , mbona miaka yote wanatwangana ??
Ramzan Kaydrov wa Chechenya ya Urusi na majeshi yao yanayopora ardhi Ukraine ni Waislamu.
Haiti na Congo hawapigani Wakatoliki na Waprotestani kama wanavyopigana Wasunni na Washia huko Yemen.
 
Urusi na Ukraine ni wafuga nini?
Unahamisha Mada kukwepa kujibu swali kwa nini vijukuu vya mtume vinagombana vyenyewe kwa vyenyewe? Any way Acha watwangane maana was wawili husema Vita vya Panzi Furaha ya kunguru!!!!!
 
Ni kwa sababu vijukuu vya Yesu vimeanza kugombana Venezuela
 
Ramzan Kaydrov wa Chechenya ya Urusi na majeshi yao yanayopora ardhi Ukraine ni Waislamu.
Haiti na Congo hawapigani Wakatoliki na Waprotestani kama wanavyopigana Wasunni na Washia huko Yemen.
Kumbe Ramzan Kadyrov ni Raisi wa Urusi ? Congo yule Kagame ni mwislamu? Na wale M23 ni masuni wanapigana na Serikali ya Kinshasa mashia au vipi?
 
Acheni kutuzungusha kukwepa kujibu swali letu kwa nini vijukuu vya Mfuga midevu na majini vinagombana?
 
Wewe ng'ombe

Hapa vita ni

Yemeni vs Saud Arabia

Moto unawaka huko

Allah aingilie kati

Tumiwaambia hizo dini zenu ni takataka mnatuona wapumbavu.

Huyo Allah kwanini asiwapatanishe

Tena kibaya zaidi Hawa ndio wale pure Arabs kutoka Arabic Pensula
 
Kwanza aanze Yesu kuwapatanisha CCM na TEC wanaotoa matamko yasiyo idadi
 
Acheni kutuzungusha kukwepa kujibu swali letu kwa nini vijukuu vya Mfuga midevu na majini vinagombana?
Ni kwa sababu vijukuu vya aliyekamatwa alfajiri na kijana aliye uchi aliyeitupa chupi wanagombana
 
Wafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!!
Kama nyinyi mnaoabudu nyoka wa kijini kwenye misalaba

1767562529163.png
 
Back
Top Bottom