City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ukraine na Urusi ni makafiri ndio maana wana vita.Ukraine v urusi ni vijukuu vya herode au yesu?
Ramzan Kaydrov wa Chechenya ya Urusi na majeshi yao yanayopora ardhi Ukraine ni Waislamu.Kwani Urusi na Ukraine ni wa dini ya vita ?? ndio wakatwangana ???
By the way kule Haiti, Congo ni wa dini ya vita , mbona miaka yote wanatwangana ??
Kama hawa wenye dini ya vita wameanza kuivamia Venezuela.
Unahamisha Mada kukwepa kujibu swali kwa nini vijukuu vya mtume vinagombana vyenyewe kwa vyenyewe? Any way Acha watwangane maana was wawili husema Vita vya Panzi Furaha ya kunguru!!!!!
Kumbe Ramzan Kadyrov ni Raisi wa Urusi ? Congo yule Kagame ni mwislamu? Na wale M23 ni masuni wanapigana na Serikali ya Kinshasa mashia au vipi?Ramzan Kaydrov wa Chechenya ya Urusi na majeshi yao yanayopora ardhi Ukraine ni Waislamu.
Haiti na Congo hawapigani Wakatoliki na Waprotestani kama wanavyopigana Wasunni na Washia huko Yemen.
Acheni kutuzungusha kukwepa kujibu swali letu kwa nini vijukuu vya Mfuga midevu na majini vinagombana?Kumbe Ramzan Kadyrov ni Raisi wa Urusi ? Congo yule Kagame ni mwislamu? Na wale M23 ni masuni wanapigana na Serikali ya Kinshasa mashia au vipi?
Wewe ng'ombeKumbe Ramzan Kadyrov ni Raisi wa Urusi ? Congo yule Kagame ni mwislamu? Na wale M23 ni masuni wanapigana na Serikali ya Kinshasa mashia au vipi?
Kwanza aanze Yesu kuwapatanisha CCM na TEC wanaotoa matamko yasiyo idadiWewe ng'ombe
Hapa vita ni
Yemeni vs Saud Arabia
Moto unawaka huko
Allah aingilie kati
Tumiwaambia hizo dini zenu ni takataka mnatuona wapumbavu.
Huyo Allah kwanini asiwapatanishe
Tena kibaya zaidi Hawa ndio wale pure Arabs kutoka Arabic Pensula
Ni kwa sababu vijukuu vya aliyekamatwa alfajiri na kijana aliye uchi aliyeitupa chupi wanagombanaAcheni kutuzungusha kukwepa kujibu swali letu kwa nini vijukuu vya Mfuga midevu na majini vinagombana?
Kuna mmoja ni rafiki wa Israel anafanya hayo kwa faida ya Israel
Kama nyinyi mnaoabudu nyoka wa kijini kwenye misalabaWafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!!
Ndevu si kila mtu zinaota unatakiwa uwe mwanaume ndio zinakuwaWafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!!
kwenyee hii huwezi kuwasikia kobazi wakiongea ngoja ashambulie Israel magaidi utasikia Israel anaua waislamu