Uzuri ni kwamba ndege haijaanguka katika mazingira magumu kama baharini au milimani.Ikitokea ajari kama hiyo na ukawa ushahidi wa video na picha watu wa Air crush investigation wanakulipa kibunda kikubwa sana hao wanaitwa eyewitness
Yawezekana alisikia kelele za ndege kwani imeanguka eneo la makazi ya watu, angekuwa na nia ingine basi angeanza na kurekodi ndege ikiruka.Ilaaaa Huyu aliye rekod na hiyo simu yake mbona is like alikua ana expect itokee 😂.
Maana unaona kabisa kila inapokata Nautrical miles jamaa anai zoom tuu ili asikose kinachoenda ku happen !!
Au ndio masuala ya AI?.
Ma
Suali zuri sanaSi walisema ndege za Tanzania wamezifungia kwenye anga ya umoja wa Ulaya,mbona ndege zao kumbe ndio.mbovi,zinaanguka ovyo.Mungu awaweke kunakostahili waliofariki na majeruhi wapone upesi.
Qatari na saudia ndo watakaoemda kulifufua hilo shirika maana sio kwa oda ile ya ndegeBoeing ni takataka
Yes ila waarabu ni vileza wao ndo kwanza wameoda hizo ndege mabilion kwa mabiloniNadhani abiria wenyewe wataanza kuzikwepa
Air India ni ndege za Wazungu? Maponjoro si kama nyie wazee wa KUTIKI!Ndege imeanguka Indis,mda mfupi baada ya kuoaa,ikiwa na abiria zaidi ya 240,na ni ndege zao,kumbe wao ndio wana ndege mabovu.
Mungu awasaidie. Ila inasemwa usafiri wa ndege ndio salama zaidi kuliko hata kwenda kwa miguu.Ikishakua ndege tu, hapo kupona kukuta wote wamekufa ni kawaida
mtoto wa mbandePakistan kishafanya yake
Aisee imeanguka kwenye hostel ya wanafunzi wa udaktari, hapo kuna uzuri upande wa kuwezesha uchunguzi ila pia kuna ubayaUzuri ni kwamba ndege haijaanguka katika mazingira magumu kama baharini au milimani.
Hivyo kuanguka kwake katika nchi kavu kutasaidia uchunguzi kwani kuna taarifa za abiria wengi kuokolewa.
Labda hujatazama hiyo clip mkuu, hiyo ndege anai rekod kablaaa hata ya tukio,Yawezekana alisikia kelele za ndege kwani imeanguka eneo la makazi ya watu, angekuwa na nia ingine basi angeanza na kurekodi ndege ikiruka.
Ndo maana yake, kila kitu kitakuwa “available”.Aisee imeanguka kwenye hostel ya wanafunzi wa udaktari, hapo kuna uzuri upande wa kuwezesha uchunguzi ila pia kuna ubayaView attachment 3365776View attachment 3365777View attachment 3365778
Wazungu kila wakiangalia repoti za matengenezo ya ndege zetu kwenye systems hawaoni za bongo, wanakutana na ripoti ya manunuzi miaka 7 iliyopita , inaonekana wanazipeleka kwa fundi maiko anazichakachua na ripoti fekiTatizo siyo ndege ni ya nani swala waliloliongelea ni periodic maintenance inafanyika inavyotakiwa?!
Ndege za Tanzania hazijatengenezwa Tanzania au kampuni ya kitanzania.
Sisi huwa tunapuuzia zile periodic maintenance tukiambiwa tufanye kila mwezi tunataka tufanye mara moja kwa mwaka, ilu ku save pesa.
Ukianza ku deviate kutoka kwenye mkataba wa manufacturer unaanza kuhatarisha maisha ya abiria wako.
Hawazuii nchi bali ndege kwa kukiuka masharti ya mtengenezaji hasa kwenye matengenezo na uangaluzi wa mara kwa mara.
Wengine hufikiri kufanyia ndege maintenance ni kuchukua bisibisi na kufungua misumari.Tatizo siyo ndege ni ya nani swala waliloliongelea ni periodic maintenance inafanyika inavyotakiwa?!
Ndege za Tanzania hazijatengenezwa Tanzania au kampuni ya kitanzania.
Sisi huwa tunapuuzia zile periodic maintenance tukiambiwa tufanye kila mwezi tunataka tufanye mara moja kwa mwaka, ilu ku save pesa.
Ukianza ku deviate kutoka kwenye mkataba wa manufacturer unaanza kuhatarisha maisha ya abiria wako.
Hawazuii nchi bali ndege kwa kukiuka masharti ya mtengenezaji hasa kwenye matengenezo na uangaluzi wa mara kwa mara.