EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania
(ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa.
Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika uwanja wa Mwanza.
Alipoulizwa kwa simu leo Alhamisi Novemba 17 kuhusu tukio hilo, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA).
Hamza Johari amekubali kuwa na taaarifa hiyo
"Ni kweli nimepata taarifa ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua kutokana na hali mbaya ya hewa, kulikuwa na ukungu, mvua, radi na giza uwanja ukawa hauonekani, kwa hiyo rubani akafuta safari na kurudi Mwanza na ametua salama"