Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitanda chako mirembe kimekumiss.Mkuu wewe basi rubani muoga. Mimi ndio zangu hizo hasa naporusha hivi vi cassena single engines. Nimeshawahi kitua kwenye hurricane bahamas...
Huwa Kuna umafia mkubwa yaani watu wanauana Kama unavyoua nzi ili misheni zako zifanikiwe.jamani tulitaka demokrasia ndio hii hapa kila mtu kufanya anavyojisikiaUjasusi wa kiuchumi wa bwana Y. Nyerere?
Watu wana akili kuliko unavyojua ama kuwaza na je unajuaje Ni game inachezeshwa ili public or majority waamini ivyo. Hii dunia iache tu Kuna mengi yanafanyika gizani baadaye tunaletewa wao wakiwa na Wana ajenda zao.Basi tatizo ya ile ajari,imeshaanza kujulikana;!!
Wanapambana kila moja kuwa na petro station yake kwa kuwaibia watanzania kodi zaotaa za elfi tatu tatu ndio wanaweka uwanja wa ndege unategemea nin! serikaln mijitu inawzaga kula tu
Basi likipata ajali, kesho mabasi huacha kusafiri?
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa ni kuwa inadaiwa ndege ya Precision Air imeshindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba, imegeuza na kwenda kutua Mwanza, leo Novemba 17, 2022.
zikiwa zimepita siku 11 tangu itokee ajali ya precision air ,ndege nyingine ya air Tanzania imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa bukoba kutokana na hali mbaya ya hewa.kuna ulazima gani wa kuendelea kupeleka ndege kwenye uwanja hatarishi?Chanzo bbc,
Ilibidi ndege irudi fasta?Na hivi Majaliwa yupo Tanga heeee!
Nafikiri amechagua mahali ambapo alitakiwa kutua baada ya Bukoba kwani Mwanza abiria ni wengiKwanini ameenda mpaka mwanza wakati kuna chato international airport hapo karibu
Yule rubani ni makini sana ndege ilikuwa na technical issues, kuishiwa mafuta na taili kugoma kutoka hizi ndo sababu watu wanazo sizema.Yule rubani wa ndege iliyoanguka angefanya kama huyu angeepusha ile ajali, haya matukio ni ya kawaida hasa hali ya hewa inapokuwa hairuhusu kutua uwanja uliokusudiwa.
Heee!!kwa hiyo ndege ziache kufanya kazi kisa ndege moja imepata ajari na chanzo chake sio tatizo la ndege,bali inavyoonekana ni tatizo la hali ya hewa?sasa leo ni ndege ya air Tanzania ndio imeshindwanl kutua unasemaje?!!Kwani hawa jamaa bado wanarusha ndege wakati ile iliyoanguka haijapatiwa majibu ya chanzo cha ajali...😕
Daaa!! Hivi ndege kuishiwa mafuta unadhania ni kitu rahisi kama kwenye bodaboda! Kuna mambo mengine kabla hata ya kuyaandika tumia kwanza halimashauri ya ubongo wako kwanza kufikiria.Yule rubani ni makini sana ndege ilikuwa na technical issues, kuishiwa mafuta na taili kugoma kutoka hizi ndo sababu watu wanazo sizema.
Asante Mungu Air tanzania imefika mwanza salama