Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Ok, then i dont know that.
Elimu tumepeana lets others comment
 
ndugu wacha kudanganya .sasa huyo jpm angekufanya nini endapo ungeandika huo uzi wako hapa?
 
Mambo ya kiusalama
Mambo ya kuliusalama kama haya ulikuwa ukiyataja wakati wa dikteta ulikuwa ni lwzima ukamatwe wakati unalisaidia taifa kuokoa watu na ndege kwa ujumla,ASANTE sana kwa kuikumbusha serekali.
 
ndugu wacha kudanganya .sasa huyo jpm angekufanya nini endapo ungeandika huo uzi wako hapa?
Nimesema nilipatwa na hofu, , inasaidia nini kudangaya ?
Kuendeleza story ndege ilipofika mwanza ilifanya refuel , nilikuwa. Nimekaa hapo dirishani nikamwona rubani akiiangalia hiyo tairi, ninkama naye alikuwa ana wasiwasi nayo pia , sikuishia hapo tu nikamuita na mmoja wa wahudumu na nikamueleza concern yamgu kwamba i was worried with the tyre condition nikahakikishiwa kuwa itakuwa salama na kweli tulifika salama Dar .

Mkuu kwenye usafiri wa ndege kila mtu ni watchdog, usikae kinya kama umeona hitilafu yoyote maana wahusika wanaweza kuwa hawajaiona .
 
Trafic hawajaiona,hahahahahaaaaaaaa
 
Hi hbr mbna inafumishwa na watu wa Twitter na kina lema na weeklikes
 
wapo marekani wanazindua filamu, tulieni pandeni hata treni au gari maana hata mkifa huko wao hawana hasara
 
Ni Qatar Airways, hii imesababisha Airbus kutupilia mbali order zote za Qatar A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…