Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Babu acha kupotosha
Air craft tires are pressurized!!!
Kama unakumbua ajali ya concord mwaka 2000 ilitokea baada ya concord kikanyaga chuma kilichoachwa na ndege iliyotangulia dc10, chuma hicho kilienda kupasua tenki la mafuta na blowout ya tari ndo ilasababisha moto
Nachotaka kusema ni kuwa matairi ya ndege yanakuwa inflated with air pressure tofauti ni kuwa kule wanatumia nitrogen air ili kupunguza expansion and contraction pressuer during landing and take off.
Ok, then i dont know that.
Elimu tumepeana lets others comment
 
Nina picha kama hiyo ya ndege inayofanana na hiyo, tofauti ni kuwa yangu niliipiga mwaka juzi nikitokea bukoba, with stoppover mwanza , by then niliogopa hata kuileta hapa kwa hofu kuu ya the late .
Atcl wapo busy kunenepesha profit books ili waonekane wanajiendesha kwa faida matokeo yake hata basic servise zinachelewa

When you put profit before safety, thats when youll have accidents.
ndugu wacha kudanganya .sasa huyo jpm angekufanya nini endapo ungeandika huo uzi wako hapa?
 
Mambo ya kiusalama
Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.

Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.

Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika.

Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti.

Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa.

Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.

View attachment 2197854

View attachment 2197855
Mambo ya kuliusalama kama haya ulikuwa ukiyataja wakati wa dikteta ulikuwa ni lwzima ukamatwe wakati unalisaidia taifa kuokoa watu na ndege kwa ujumla,ASANTE sana kwa kuikumbusha serekali.
 
ndugu wacha kudanganya .sasa huyo jpm angekufanya nini endapo ungeandika huo uzi wako hapa?
Nimesema nilipatwa na hofu, , inasaidia nini kudangaya ?
Kuendeleza story ndege ilipofika mwanza ilifanya refuel , nilikuwa. Nimekaa hapo dirishani nikamwona rubani akiiangalia hiyo tairi, ninkama naye alikuwa ana wasiwasi nayo pia , sikuishia hapo tu nikamuita na mmoja wa wahudumu na nikamueleza concern yamgu kwamba i was worried with the tyre condition nikahakikishiwa kuwa itakuwa salama na kweli tulifika salama Dar .

Mkuu kwenye usafiri wa ndege kila mtu ni watchdog, usikae kinya kama umeona hitilafu yoyote maana wahusika wanaweza kuwa hawajaiona .
 
Jana nimesafiri na ATCL ndege number TC 106 Bomberdier toka Dar kuja Mbeya. Hii ndege tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa. Hii ni hatari sana.

Nilikaa dirishani mkabala na hizi tairi. Jana tulitoka Dar na mvua, na mipira ikiloa si rahisi kuona jinsi mpira ulivyolika. Tunafika, mipira imekauka. Ilivyotoa tairi nikaona jinsi ilivyoisha. Nilikosa amani mpaka ilipo simama.

Hata kama ni tubeless, nadhani kuna kiwango kinacho ruhusiwa cha tairi kulika.

Kwa namna zilivyo hapo, hata uwiano wa kubeba mzigo wakati wa kutua ni tofauti.

Sababu hiyo tairi isiyolika sana ndio inaanza kugusa chini na kubebe mzigo mkubwa.

Hebu fikiria ndege imetua na hiyo tairi inapiga mzinga wakati iko kwenye speed. Au iko kwente speed ya kuruka halafu ndiyo ina piga mzinga. ATCL mtatuuwa kizembe.

View attachment 2197854

View attachment 2197855
Trafic hawajaiona,hahahahahaaaaaaaa
 
Hi hbr mbna inafumishwa na watu wa Twitter na kina lema na weeklikes
 
wapo marekani wanazindua filamu, tulieni pandeni hata treni au gari maana hata mkifa huko wao hawana hasara
 
Kuna habari nilisoma emirates kudai fidia airbus kutokana na ndege kupata tatizo la rangi kubanduka kwenye fuselage, pamoja na airbus kudai hiyo ni minor breach ambayo haiathiri usalama wa ndege ishu ilipelekwa mahakamani ikidaiwa fidia ya dola milioni 600 kama sijakosea.......kwa hiyo ndugu mteteaji hili nalo unalizungumziaje, je, huoni kwamba situation inayoweza kuleta tu hofu au mashaka kwa abiria tayari inakuwa ni doa kwenye safety standards?
Ni Qatar Airways, hii imesababisha Airbus kutupilia mbali order zote za Qatar A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom