Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

Hy Sao paulo c ni Brazil.? Inakuaje njia rahisi ya kwenda dubai iwe Afrika ya Kati/Mashariki.?
Binafsi naona kama kupita Afrika Kaskazini ndio njia rahisi na pekee.
Ndege husafiri sana kupitia baharini kukwepa omba vibali kila nchi inayopita na kulipia mara kwa mara.

Na saa zingine huangalia njia fupi ili wasii gie gharama ya mafuta
 
Ndege husafiri sana kupitia baharini kukwepa omba vibali kila nchi inayopita na kulipia mara kwa mara.

Na saa zingine huangalia njia fupi ili wasii gie gharama ya mafuta
Routes za ndege zinajaribu kukwepa bahari kadiri iwezekanavyo , zinatakiwa zipite kwenye routes zilizo karibu na viwanja vya ndege , ikitokea dharura yoyote inakuwa rahisi kuishusha , hata ikibidi route iwe ndefu zaidi na pia iwe inapokewa kimawasiliano na control towers za njiani..
 
Ndege husafiri sana kupitia baharini kukwepa omba vibali kila nchi inayopita na kulipia mara kwa mara.

Na saa zingine huangalia njia fupi ili wasii gie gharama ya mafuta
Duh Kwahy kupita A. Mashariki/kati ndio njia fupi 😂 kweli Mm bado mgeni sana kwenye safari za ndege
 
Ndege ya Fly Emirates namba EK 262 iliyokuwa ikitokea Sao Paulo kuelekea Dubai, imebadili njia na sasa yaelekea kutua JNIA baada ya kupata dharura.

Inakuja tua JNIA sababu imekwepa Anga la Sudan ambapo kuna hali ya sinto fahamu

Mahotel na Coaster zijiandae kunufaika maana abiria ni zaidi ya 200View attachment 2588987
Abiria 514
 
Back
Top Bottom