Ndege ya gharama sana ya Urusi yapigwa chini Bakhmut

Ndege ya gharama sana ya Urusi yapigwa chini Bakhmut

Wabongo aisee

Tuko busy sana na ya watu
 
Mleta mada hujui kama aina ya hizo ndege wanatengeneza wenyewe? na ndege hiyo generation ni old generation kwao hivyo huenda ikawa gharama sana kwako kwakuwa wao hupanga bei ya hizo ndege kwa wanaowauzia.

Pia ikumbukwe viwanda vingi vya Urusi sehemu kubwa ni mali ya serikali hivyo gharama kwao huwa ni ndogo sana sababu serikali ndiyo producer mkubwa wa hivyo vifaa na hapo ndipo hata katika bajeti ya vifaa vya ulinzi huwa chini sana lakini wanavifaa bora sana sababu haiwezi kujiuzia yenyewe. Wakati huohuo nchi za magharibi (eg US) makampuni mengi yanayotengeneza hivyo vifaa ni makampuni binafsi tu,hivyo Serikali huuziwa kwa kuweka oder zao ndiyo maana hata bajeti zao huwa zaidi ya mara kumi ya Russia lakini ukiangalia ubora wa hivyo vifaa ni ulele.

Hivyo ndege iliyoangusha huenda ikawa ni ya gharama zaidi kwako (Muuziwa) na kwa Wagner!
 
Ushabiki na taarifa zisizo na uhakika. Tutatueni umasikini wetu watanzania tuwaachie wanaoweza hayo mambo.

Kuhangaika na haya mambo ni ulimbukeni tu.
 
Jana niliona habari huko Moscow kuna hotel imelipuliwa eti warusi wanailaumu Kiev 😅😅😅😅 inabidi hii vita ipiganiwe Urusi ili waonje damu ya watoto wao
Ni kweli lakini nani anaweza kuthubutu kufanya hivyo?Collective west wamegoma kumpa Zele long range missiles zinazoweza kushambulia Urusi,Unadhani kwanini?Ungelijua Hilo basi hiyo nadharia Yako usingeiandika hapa!
Ni kwamba hakuna ambaye anaweza kwenda kupigana vita Urusi!
 
Kwahiyo bomu lilitegwa na warusi wenyewe??
 
Kwahiyo bomu lilitegwa na warusi wenyewe??
Huo ni ugaidi kama ugaidi mwingine unaoujua!
Nilichokueleza hakuna taifa ambalo linaweza kushambulia Urusi halafu wakaweka wazi ni wao wamehusika!Ndio maana hata tukio la kujitoa muhanga huko Crimea,serikali ya Zele haikusema kama imehusika!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani SU-24 iwe ndege ya gharama
 
Nasemaje! nasemaje! nasemaje! nasemaje! imeliwaaaa!!!!!
Pole sana.
Ninaweza kukisia moyo wako unavyobubujikwa uchungu kwa namna agenda zako zinavyowekwa wazi kuwa Hazina mashiko!

Vumilia tu hakuna namna!
 
Huo ni ugaidi kama ugaidi mwingine unaoujua!
Nilichokueleza hakuna taifa ambalo linaweza kushambulia Urusi halafu wakaweka wazi ni wao wamehusika!Ndio maana hata tukio la kujitoa muhanga huko Crimea,serikali ya Zele haikusema kama imehusika!
Wanaweza kushambulia sema hawatosema hilo ndiyo jibu
 
Pole sana.
Ninaweza kukisia moyo wako unavyobubujikwa uchungu kwa namna agenda zako zinavyowekwa wazi kuwa Hazina mashiko!

Vumilia tu hakuna namna!

Kumbuka kumuombea Putin ukiwa kwenye hiyo njaa ya swaumu maana nasemaje nasemaje nasemaje ndege imeliwaa!!!
 
Kushambulia ni kushambulia tu.....haijalishi kupitia wapi na njia ipi.
US kila wakati watu wanashambulia shule,makanisa,mabaa NK na kuua watu!So mashambulizi kama hayo ya kigaidi sio jambo geni!
So mtu mmoja kujitoa muhanga na kushambulia Russia sio ajabu hata kidogo!
 
Back
Top Bottom