Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Imeungwanishwa tu
Halafu naona kuna mzungu na atakuwa ndio katika ma engineer na sio Maulidi Kitenge kwa hiyo usiogope uwe na amani
Viwanda vingi kwa taarifa ni assembly mfano wewe binafsi unashindwa nini kuanzisha kiwanda cha ku assemble baiskeli?

Minyororo ya baiskeli ,taa,tairi viti vya kukukalia vya baiskeli vinauzwa madukani.Mabomba tunayo ,mafundi bomba na welding tunao wa kuweza kutengeneza yale mabomba ya baiskeli ili u a semble hivyo umenunua unashidwa nini?
Pili engineer wa nje kazi yake kuachia knowledge wazawa shida yako nini?.

Hako.ka kingereza kako tu ka goodmorning mzungu ndie alikuja kwanza akafunza watu weusi wakajua ndio na wewe ukaambulia
 
Mwenyekiti wa CCM ataenda lini kuzizindua?
 
Mafanikio haya ni matokeo ya sera nzuri za Rais Samia za kuvutia wawekezaji na sekta binafsi.

Tanzania ya Viwanda is real sio porojo.

Uundaji wa ndege umeanza

Uundaji wa magari umeanza

Uundaji wa matrekta umeanza

Kutengeneza wa vioo umeanza nk nk.
 
Unawashwa ww siyo bure

Nilichouliza umekifahamu
Nilitaka kujua kuhusu ivo vi mini airbus
Nan anatengeneza
Kampuni la ndani au wawekezaji
Ni vya kazi gan hivo vya abiria au vya kusafirishia chanjo
details kama izo
Siyo upige campan hapa
 
Anzisha wewe hicho kiwanda serikali haijakuzuia

Huyo mwenye ndege ni mfanyabiashara binafsi ndie kutengeneza

Sasa unamkodolea macho kama unaons fursa si utengeneze wewe upate pesa
Ukisikia wivu rasmi wakike ndio huu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…