Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake


Hata assembling nayo ni hatua. Dunia ya Leo sio sifa kufanya kila kitu mwenyewe, outsource kama kuna tija, kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.

Airbus inatengenezwa na nchi kadhaa Europe, not necessarily an Airbus subsidiary nyingi ni subcontract, kila nchi inaunda some parts na kuwa assembled France kama sikosei.

Nishafanya kazi kiwanda cha kutengeneza components zinazoenda Boeing usidhani Boeing anatengeneza kila kitu in-house. Hizo components zinakuwa designed, fabricated and tested pale pale Kabla ya kwenda Boeing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…