Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Mjinga kweli wewe....


Unashindwa kusema HONGERA HAYATI JPM ??.


watu wengine wapuuzi kwelikweli.

Mzigo wa bi mdashi huo tuondoleeni nongwa zenu. Alisikika mlevi mmoja akikatiza mitaa ya Tandale kwa Mtogole[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndege tulizokwisha nunua nyingi hazifanyi kazi. Sijui tuna mpango gani na hizi mpya?
 
EMBU JISOME HALAFU USINIJIBU.

"Hizo ndege zimeagizwa kipindi cha JPM, kule unaweka oda kwanza ndiyo inatengenezwa. Asikudanganye huyu, mama awamu yake hakuna hata ndege iliyoagizwa"
Kabla ya kusoma hapo ukasome post niliyoquote, usidandie treni kwa mbele
 
Hivi hizi zinaleta faida kweli? Au tumekalia tu tuongeza ndege huku zikiula upande mwingine wa mapato? Dunia ya sasa hakuna haja ya kuwa na fahari isiyokuwa na faida kwa nchi unless ni vichaa.
 
hUYU MAMA HANA ALICHOWAZA HAPO, ALIKUTA MIKATABA ILISHASAINIWA NA PESA ILISHALIPWA HAKUWA NA JINGINE ZAIDI YA KUSUBIRI AZIPOKEE TU. JPM KICHWA SANA
 
Kabla ya kusoma hapo ukasome post niliyoquote, usidandie treni kwa mbele
EMBU JISOME HALAFU USINIJIBU.

"Hizo ndege zimeagizwa kipindi cha JPM, kule unaweka oda kwanza ndiyo inatengenezwa. Asikudanganye huyu, mama awamu yake hakuna hata ndege iliyoagizwa"
 
Miradi pekee ambao "Mama" ameasisi toka aingie madarakani ni Kukopa,Tozo na Maridhiano.

Hayo maendeleo ya vitu mnamsingizia tu.
 
Hizi ndege zitasafirisha wanyama nipo paleeee tusubiri.
 
Siyo tunamalizia kupokea mzigo alokuwa amelipia cash hayati? hope kabla kamala hajatua bongo itakuwa imefika,mambo ya diplomacy hayo[emoji28]mitano Tena kwa mama akeee [emoji444][emoji448]
Cash ililipwa na serikali, haikulipwa toka katika mfumo wa huyo jamaa mmoja unaemsemea.
 
zile kesi za yule mpumbavu aliyekufa zimeisha? Wasije wakakamata ndege na mizigo yetu! khaa! tulipita mapito. Hivi JPM alifanya mwenyewe? Mbona namuona Katelephone anajifanya kama hakuwepo? Afadhali Mother najua alitishia kuachia ngazi kipindi fulani! lakini huyo mmwera bado alikuwa henchman wa Jiwe.
 
Ile iliyokamatwa vp..imeshwachiwa..wasije kamata na hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…