Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Sasa kwanini haikutua Dodoma Kwa injini moja, ikarud Dar,,hatuoni ilihatarisha Maisha ya abiria#HABARI: Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
Kwambaje engine ikizima wakati ukitua kwenye uwanja fulani inakubidi urudi ulikotoka au.Ndio sheria za ndege
🤣🤣🤣Kwani lazima mupande ndege wakulungwa mbona ss tunapanda mabasi na tunafika
Mshamba sana wewe.Umbuzi unao mwenyewe [emoji41]
Utasambazaje habari ambayo hata wewe mwenyewe huwezi kuifafanua?
Kwa nini hukuwauliza hao walioisambaza kabla yako?
Ujinga mtupu.
Ajabu sana, labda waseme inachagua pa kutua.Na Dar ilifikaje wakati injini ilizima?
Toa maelezo ya kina
Dar ni International Airport hivyo technolojia ipo juu kuliko Uwanja wa Dodoma,maana yake ni kwamba kuna msaada mkubwa wa kumuwezesha Pilot kutua salama hata manually zaidi ya Uwanja wa Dodoma,sijui unachobisha ni nini hapo?Mainjinia wa mchongo bhuana [emoji23]
Mshamba mwenyewe.Mshamba sana wewe.
Ilitakiwa hii iwe komenti ya kwanza kabla hatujasonga mbele kujadilianaNa Dar ilifikaje wakati injini ilizima?
Toa maelezo ya kina
Ha ha haaaa.Sasa inarudije dar bila injini
Hiyo kutua manually inakuwaje?Dar ni International Airport hivyo technolojia ipo juu kuliko Uwanja wa Dodoma,maana yake ni kwamba kuna msaada mkubwa wa kumuwezesha Pilot kutua salama hata manually zaidi ya Uwanja wa Dodoma,sijui unachobisha ni nini hapo?
soma kitabu kinaitwa "Aircraft Manufacturing in the New Era"utaelewa jinsi ndege inavyoweza kutua Manually kunapotokea tatizo la kiufundi,kikubwa Uwanja husika uwe na technology hiyo,kwa Tanzania ipo Dar tu sina uhakika kuhusu KIA kama ipo
sijui unachobisha ni nini hapo?
SureIlitakiwa hii iwe komenti ya kwanza kabla hatujasonga mbele kujadiliana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimesoma maelezo yako toka mwanzo.soma kitabu kinaitwa "Aircraft Manufacturing in the New Era"utaelewa jinsi ndege inavyoweza kutua Manually kunapotokea tatizo la kiufundi,kikubwa Uwanja husika uwe na technology hiyo,kwa Tanzania ipo Dar tu sina uhakika kuhusu KIA kama ipo