Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

Ndege ina uwezo wa kuendelea na safari iwapo engine moja itapata tatizo, na inaweza kutua kwa kutumia engine moja. Kwanini haikutua Dodoma na hio engine moja tungoje wataalam. Inawezekana uwanja wa Dodoma hauko well equipped for emergency landing kuliko Dar. Im just thinking.
 
Wana Jf wengi wao naona sijui ni ubishi wa asili au elimu sijui, maana wengi wanauliza kwamba ndege imeshindwa vipi kutua Dodoma ikarudi dar na injini moja wakati ni mbali? Jibu rahisi ni hivi.

Kwa hapa Tanzania kwa tatizo la ndege kama hilo la kuzima injini moja sehemu za kutua ni mbili tu yaani Kia na Jk tu. Kulingana na aina ya viwanja na tatizo husika. Utuaji wa ndege ambayo injini zote ni nzima ni tofauti na utuaji wa ndege inayotumia injini moja.
 

Yes hiyo ndiyo sababu kuu ambayo ina mantiki.

Uwezo wa kukabiliana na janga kwenye uwanja wa Dom ni mdogo kuliko DSM so ni bora wakatue DSM coz kule kuna vifaa vya kutosha vya kukabiliana na majanga.
 
Nimesoma maelezo yako toka mwanzo.

Sasa Waeleze hivi"ndege ina uwezo wa kuzurura angani ikiwa na injini moja,nzima ingine mbovu."

Hiki ndicho kinachotufikirisha.
na ndio maana waliweka Engine Mbili ili moja ikipata hitilafu nyingine ifanye kazi kwa muda wakati inatafuta msaada wa kutua kwa dharula,mwaka 2008 niliwahi kusafiri na Ndege ndogo ya kukodi kutoka Dar kwenda Mtwara kikazi nikiwa na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Robert Mboma,tukiwa angani ndege ile ndogo ikapata hitilafu na Pilot alikuwa Mzungu,akawa anajaribu kusolve tatizo lakini anashindwa[emoji134]bahati nzuri Jenerali Mboma ni Pilot mzuri sana na alikuwa amekaa pembeni kidogo ya Pilot,akaishusha Mtwara vizuri lakini Manually
 
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
Hii ni ile iliyoshindwa kutua KIA mwaka jana kwa tatizo hilohilo?
 
Technically Dar imetua salama kwa kuwezeshwa na nini wakati Dodoma imeshindikana

 
Mbona hilo si tatizo.
Mimi nimeshasafiri kwa engine moja toka Kigoma.
Pilot kaghafilika tu.
 
Bado sijaelewa kama iliyoandikwa hapo juu ndio chanzo basi nimeachwa nyuma.
Ndege imeshindwa kutua Dom kwasababu injini moja ilikuwa na hitilafu. Ndege hiyo hiyo imefanikiwa kutua Dar!!??
Obvious na injini bado ilikuwa mbovu!!??
 
Inakuwaje ishindwe kutua Dodoma lakini ikaja kutua Dar? Logic ni nini kurudi dar na kutua? why isitue huko huko dom?
"Hanger" aka Gereji ya Ndege ipo Dar, kwahiyo Rubani hawezi kuacha "Dege bovu" dodoma kwa maana gharama ya kulikarabati inaweza kuwa sawa na kuiza kama angeiacha huko Dodoma. Halafu pia kama Rubani amejiridhisha kuxhukua uamuzi huo inakubalika ulimwenguni kote..
 
Mabasi yanaua kwa uroho wa wachache na rushwa za kijinga
Sasa na hizi ndege wakaguzi wana nini mpaka matukio yanakuwa kwao tu

Au ndio tuseme wanasema acha iende safari 3 halafu tutafanya services maana hela ngumu
 
Hawa Precision nao sasa wajiangalie...
 
Precision!, Precision, Precision! Something must be done immediately! Why them!? All day!...Hatua madhubuti za kimkakati zichukuliwe na hizi ndege zichunguzwe...

Maisha ya watumiaji wa hii ndege precision wameyaweka rehani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…