Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Imeshindwa kutua Dodoma kisa engine m9ja imezima, kwani Dar imetuaje na engine moja?Hizo ngoma shida nini watu AME inapaswa wajitathimini kwasababu hatukatai chombo kuwa na mechanical au electrical malfunction hasa katika mifumo ya engines au hydraulic maana inaanza kuwa kila mara.
Ndege inaweza kuruka na kutua kwa kutumia engine moja kiwanja chochote chenye urefu unaokubarika"Hanger" aka Gereji ya Ndege ipo Dar, kwahiyo Rubani hawezi kuacha "Dege bovu" dodoma kwa maana gharama ya kulikarabati inaweza kuwa sawa na kuiza kama angeiacha huko Dodoma. Halafu pia kama Rubani amejiridhisha kuxhukua uamuzi huo inakubalika ulimwenguni kote..
Hawa ndege zao zimechoka au hawafanyi service vizuri. Hadi waue tena watu kwa ajali ndio hatua sahihi itachukuliwa dhifi yaoNdege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
---
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
Taarifa ya tukio hilo imeelezwa na moja ya abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo, ambaye ni Naibu Meya wa Kinondoni, Joseph Rwegasira Samson, ambapo ameeleza kuwa wanashukuru Mungu, wamefanikiwa kutua salama kwenye uwanja ndege wa Dar es Salaam, ikiwa inatumia injini moja.
PIA SOMA
- Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura
Credit: ITV
Asante mkuu nilikuwa natafuta jibu hili asante Kwa kunisaidia.Ndege itoke dar mpaka dodoma ishindwe kutua Kwa sababu engine ilikuwa Ina hitilafi irudi dar ikiwa na engine hiyo hiyo mbovu ishushe aboria warudi makwao.Are they serious?Wawarudishie nauli zao.Wapiuzi wakubwa.Na Dar ilifikaje wakati injini ilizima?
Toa maelezo ya kina
Cc: TPDC , Pura na ewura wanapendelea kusafirisha wafanyakazi wao na shirika hili, waache Mara mojaNdege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
---
Ndege ya Precision Air PW 600, iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma na kulazimika kurudi mkoani Dar es Salaam baada ya moja ya injini zake kuzima wakati ikikaribia kutua.
Taarifa ya tukio hilo imeelezwa na moja ya abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo, ambaye ni Naibu Meya wa Kinondoni, Joseph Rwegasira Samson, ambapo ameeleza kuwa wanashukuru Mungu, wamefanikiwa kutua salama kwenye uwanja ndege wa Dar es Salaam, ikiwa inatumia injini moja.
PIA SOMA
- Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura
Credit: ITV
Akili zako hazina akiliAsante mkuu nilikuwa natafuta jibu hili asante Kwa kunisaidia.Ndege itoke dar mpaka dodoma ishindwe kutua Kwa sababu engine ilikuwa Ina hitilafi irudi dar ikiwa na engine hiyo hiyo mbovu ishushe aboria warudi makwao.Are they serious?Wawarudishie nauli zao.Wapiuzi wakubwa.
Kopo Hilo. Ofisin kwetu wamesitisha wafanyakazi kutumia Hilo dubwashaNdege ATR kampuni ya precision air yalazimika kurudi dar baada ya kushindwa tua dodoma
Sababu Ni moja ya engine zake ku fail wakati ikijiandaa kutua
Sawa CaptainHuduma ya Ndege kutua kwa Engine moja haipatikani Uwanja wa DODOMA maana ni kiwanja kidogo hivyo ilikuwa ni lazima irudi Dar Kwa Usalama zaidi,full stop
Dar Kuna bahari. Ingezngua tena tungeenda majini ..Hata mie nimeshangaa kwanza imefikaje na kutua Dar.
1. Dar angalau kuna BAHARI likizingua captain anajikataa huko.Ifike mahali Serikali isitishe hizi ndege kuendelea kutoa huduma hadi ukaguzi wa kina dhidi yake ufanyike sio hadi kungojea maafa yatokee waje na ngojera zao zingine za kina Majaliwa
Na kingine kinachonifikirisha ni kwamba kama iliweza kusafiri kurudi Dar kutokea Dodoma ilishindwaje kutua hapo Dodoma,na huko Dar ilituaje sasa au huko huko hewani injini ilikaa fresh tena?,πππ
Wanaangalia na uwepo wa huduma za uokoaji iwapo lolote likitokea. Na labda kuilaza ndege Dom kusubiria matengenezo nayo ni ishu nyingine.Imeshindwa kutua Dodoma kisa engine m9ja imezima, kwani Dar imetuaje na engine moja?
Usikute ni hujuma tu..!!