Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

Injini za ndege sio kama za bajaj. Kila injini inajitegemea kuanzia mifumo hadi utendaji.na Kila injini inao uwezo wa kuhakikisha ndege inatua salama hata kama zote zimezima
Sasa zikizima, what will be the dragging force to push the plane forward? Kumbuka usalama wa ndege ikiwa angani ni mwendo wake.
 
Hiyo rudder inaoperate automatically baada ya engine kuzima au anaoperate pilot? Na kama inakuwa operated na pilot, nini kinatokea toka engine inazima mpaka pilot anaoperate hiyo rudder? Maana kutakuwa na time lapse.
 
Moja kati ya ajali chache za ndege zilizorekodiwa live hadi ndege inaanguja, wale watalii walikuwa na mikamera pale ufukweni
 
Mkuu huwa unaangalia vile vipindi vya ajali za ndege youtube? Mbona kule tunaona ndege ina uwezo wa kutembea na injini moja hata kama ziko kwenye mabawa?
 

Q.) Will an airplane with one-sided engine, turn to either side?

The answer is definitely YES. Flying with one engine on a multi-engined airplane, will cause it to yaw to side of the dead engine. This is due to the Asymmetrical Thrust thus created.

How does a pilot deal with it?

The airplane will tend to turn towards the side of the dead engine. Now what the pilot has to do is that use the rudder and ailerons to counteract with the yaw. The rudder and ailerons has to be trimmed accordingly, to deal with it.

Trimming is needed as it would be stressful for the pilot to continuously hold the controls till the airplane is safely landed.

Q.) Can the airplane maintain the cruise altitude?

Nope. An airplane can't maintain its cruise altitude due to less thrust available and the asymmetrical thrust. Therefore, in such a situation the pilot descends the airplane to the “single engine service ceiling ”.

It is the maximum altitude, where a pilot should be allowed to fly if a single engine is working.

For example, the Airbus A330 can safely cruise at 36000-38000 feet with all enginesworking. But if it looses one engine, then the airplane descends to its Single engine Service Ceiling of 33000ft or lower.

Hope that you enjoyed the answer.
 
Hizi ndege za precision engine zake ni za pangaboy so ukikaa siti ya dirishani usawa wa bawa la ndege ukichungulia unaiona ikizunguka...
Sio kwamba hata zile zingine nazo pia Zina pangaboi ila haliko uchi "yaani limefichwa".
 
Jaribio la kifala sana alilifanya huyo rubani mpumbavu. Vipi Kama ingetokea ikagoma kuwaka!? Si ungekuwa msiba wa kujitakia huo!?
 
Muda gani inaweza kuruka na engine moja?
Inategemea na ETOPS rating yake. Ndege tofauti zina rating tofauti.

ETOPS - Extended-Range Twin-Engine Operations Performance Standards

Mfano kuna ndege ni ETOPS-180: Hii inaruhusiwa kutembea 180 minutes with one engine failed, na imeshakuwa tested for that at full load. (Impact yake kisheria ni kwamba wakati wote ndege ipo angani inatakiwa iwe 180 minutes away from a suitable landing airport- hata kama route itakuwa ndefu). Such na 120,330,370 etc

Failure au fire ya engine moja kwenye ndege hizi ni non-event.

Ishu ni failure of control surfaces mzee. Zile ailerons, rudders, flaps au spoilers zikistuck ndio rubani anatokws jasho na abiria mtatoka uharo
 
Huyu mtu aliyepost hajui kuwa minara ya siju haishiki angani?

Maana yake post yake imekuwa sent baada ya wao kukaribia kabisa KIA ndio ikakamata network na kupost, kitu bacho hakisaidii[emoji1787]
 
mwana JF hebu waza huu uzi ungekuwa unahusu ATCL wachangiaji wangekuwa wanasemaje?
Pamoja na id feki zetu ila members wa jf ni "walewale"
Ndege za Taifa hizo, tungeweka mapovu ya kutosha mkuu, moja ya sababu ya ATCL kukosa soko ilikuwa hilo yaani ikipatwa na delay au shida ya kiufundi ilikuwa lazima ukurasa wa mbele wa gazeti ukutane na habari nzito huku kampuni zingine zikiwa na matatizo yanayoambatana na hayo wala husikii (hii nazungumzia kabla ya kuja ndege hizi mpya)
 
Siku hizi simu nyingi ama zote zina "aircraft mode" na naona wanaruhusu kuweka kwenye "aircraft mode off" simu hivyo kuna wapuuzi wanaamua kutozima kabisa. Zamani wakisema zima simu unatakiwa uzime simu hata kama ukiweka kwenye "aircraft mode", mhudumu akikuona wakati anahakiki kama mambo yapo sawa wakati kitu ndio kinataka kuchukua kasi yaani anaweza kukumeza hata kama utamwonyesha umeweka off kwenye aircraft mode.

Alie-tweet alijifanya CNN (be the first to know)
 
Huyu mtu aliyepost hajui kuwa minara ya siju haishiki angani?

Maana yake post yake imekuwa sent baada ya wao kukaribia kabisa KIA ndio ikakamata network na kupost, kitu bacho hakisaidii[emoji1787]
Which means at the time watu wanasoma, kitu ndio kinautafuta ule mstari mweupe katikati ya uwanja kwa mbaliiiiiiiiii kikiwa taratibu kinashuka na watu wanaanza ku-respond kitu tayari kimetua
 
Daah! Madini Sana haya.
 
Maswali mengi niliyouliza nayajua majibu yake nimeuliza tu maana naona mtu anakueleza kitu anachokijua juu juu.
 
Haya madini Aisee! Nimejaribu ku_google baadhi ya vitu Kama hiyo Etops . Aisee Hawa jamaa almost wanajua kila kitu kuhusu haya mandege. Inaonekana kila scenario unayoiwaza wao walishakuwa na namna ya ku_deal nayo.

Nimeona pia hiyo uliyoitaja hapo Trijets. Kwa nini waliziondoa kwenye biashara ya abiria.!? Hii hapa Moja (kwa msaada wa Google). Japo wadau wengine waione pia.
 

Attachments

  • images.jpeg
    25.7 KB · Views: 11
Yes hata kwenye training huwa zinazimwa kweli na instructor uwapo angani, afu anaiwasha baada ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…