Goliati mbishi
Senior Member
- Apr 2, 2020
- 127
- 115
huyu maza hicho kinanii cha mtoto anaajenda gani nachoMbona tiba mbadala zipo tangu za mababu zetu na zinatusaidia mpaka leo bila approval ya mabeberu?
View attachment 1443762
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuona vile utakua wa kwanza kukimbilianyungu ya nini sasa wakati sisi tunasubiri kikombe cha babu wa Madagascar.
Kutoka maktaba;Kama iliwezekana kwa babu wa loliondo hapo Madagascar ni kama kumsukuma
In God we Trust
Hawezi kukimbilia huyo mtu aliyeelimika anafuata miongozo ya wataalamu.Kama nakuona vile utakua wa kwanza kukimbilia
priory ni kwa mataga kwanza.Kama nakuona vile utakua wa kwanza kukimbilia
Kwani umeambiwa kuwa wameenda kuchunguza? Hujamuona Kabudi akipiga funda?Hakuna jema analofanya mkuu wa nchi? Hivi Kama dawa inatibu mtamlaumu Tena au kwa vile hajapitia ngozi nyeupe? Madagascar waweza kutoa dawa ya Corona pia tusubiri walotumwa waje na ripoti ya uchunguzi!!! Si Bora hata wa Madagascar wamejaribu kutoa dawa WAMETHUBUTU ! WA kwetu wamefanya nn?
Kamata dawa yako utakufa wewepriory ni kwa mataga kwanza.
pia mimi siwezi kunywa huo ugoro nawasikiliza WHO.
Dege likituwa nasisitiza WATANZANIA mtembeni kwa madaha kwani tunaenda kumteketeza COVI19 VIVA MAGUFULI!! Nyie endeleni kushupaza shingo zitakatika vipandevipandeHahaha utakunywa wewe na jamaazako kwani nyungu na temperature ya 100 centigrade haijasaidia?
Duu wazee historia inaenda kuandikwa kwamba ndege ilienda kufata sijui manini nini!!Hizi hela tunazotumia kwenye upumbavu zingenunua PPE ngapi?
Huo uchafu ukija wanywe wao na familia zao
Mimi niko radhi kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Najiuliza Kalamagamba is also sick, anaonja au anapima kama dawa kweli inafunction?Hii ni ndege rasmi ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Government Flight Agency (TGFA) Wakala wa Ndege za Serikali Muundo na aina ya Gulfstream G550.
Na ndege hiyo imefanikiwa kurudi na msaada
May 8, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Ndege rasmi ya Rais yatua na mzigo wa msaada wa dawa toka serikali ya Madagascar na Prof. Palamagamba Aidan John Kabudi kuwa mmoja wa waTanzania wa mwanzo kugumia dawa hiyo adhimu ya kiAfrika ya kupambana na coronavirus wanaosababisha gonjwa la hatari la Covid-19
Top Nigerian pharmacology expert caution about the herbal remedy from Madagascar
Source : Africanews
More info :
Huyu ni nani?
Nina habari Singida umeshaenea na wagonjwa wanawekwa hospital ya Sokoine na niliandika uzi humu ila mods wakafuta na kiukweli hata wangenitaka uthibitisho sikuwa nao.Inafikirisha sana mkuu. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri. Ugonjwa huenda umesambaa sana, hasa mikoani ambako taarifa hazisambai kama mjini na vipimo hakuna
tena watu kama nyinyi ndio wa kwanza kulalamika ikitokea mmekosa dawaHizi hela tunazotumia kwenye upumbavu zingenunua PPE ngapi?
Huo uchafu ukija wanywe wao na familia zao
Mimi niko radhi kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nyakati hizi hayo mawili hayana tofauti kati yake mkuu.HIVI NI NDEGE YA RAISI AU NDEGE INAYOTUMIWA NA RAISI WA TANZANIA