Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Kwa tulipofikia uliotaja wafute bakiza jeshi na Tiss ndan yake.
Niger imetuonyesha njia.
 
Wajinga nyie mnaohangaika kumpekenyua Mama wakati yeye anajilia bata tu.
Na hata akiachia ngazi leo hii bata litaendelea mpk kufa kwake. Sasa sijui nyie mnapata nn kwa kazi hii
Yaani hapa wewe ndiye mjinga kabisa, kumbuka anaye ongelewa hapa ni Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu na sio kiongozi wa kikundi ya upatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…