jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kwa hiyo wwe hutaki hilo Jambo litazamwe alafu lifanyiwe kazi!!? Au wwe wataka lifanyiwe kazi tu bila ya kutazamwa kwanza!!??Wewe ni tamako sana, unaleta mizaha kwebye mambo muhimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wwe hutaki hilo Jambo litazamwe alafu lifanyiwe kazi!!? Au wwe wataka lifanyiwe kazi tu bila ya kutazamwa kwanza!!??Wewe ni tamako sana, unaleta mizaha kwebye mambo muhimu?
Hukusoma maelezo ya mwanzo, yaliyopo sasa yamehaririwa.Tuliza makalio wewe DadaKaka Nani kakuambia tunanadaiwa je umesoma vzr madai ya mswidish au unakurupuka tu hap ilimradi na wew ucommment
Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Wakati wanapigwa risasi wewe nawe ulifurahia.Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya
Mikataba mingi ni ya kijinga na ililenga kulitia taifa hasara kwa manufaa ya watu flani walio kwenye system. Sasa jiwe alikuwa akili kubwa akitazama kwa kina anaona tunapigwa kizembe akawa anaikataa hio mikataba kwa hasira.Ujinga wa kutoheshimu mikataba awamu ya 5.
Undergoes costing the nation.
Yes ila elewa mkataba ni two way traffic, je upande wa pili uliridhia?,definitely kulikua na kipengele cha anayetaka kuvunja mkataba atafidia vipi upande wa pili,hii ndio catch area, tumevunja mkataba kama president wa nchi anapomfukuza mtumishi on the spot (hili nalo ni kosa kubwa, ila kwa mazuzu wanaona ni sawa)2016 mkataba ulisitishwa.
Wanajua sana sema ni part of them ....njama zao ni moja ...kikwete anapiga simu anawaambia wawekezaji watufungulie mashitaka kitakacho patikana tutagawana ....ndiyo maana kipindi cha jpm walishindwa na awakuthubutu kufungua kesi ...hizi kesi ni mchongo wa kutupiga kifisadi ccm na wafungua kesi ni njama moja hao Wanasheria ni njama moja na mafisadi ...ukisikia tumeshindwa kesi utaona baada ya siku chache kikwete anajenga maapatimenti na wanasheria wetu walioshindwa kesi wanajenga mahekaru ya kufa mtu .Ndo hapo sasa.
Wanasheria wetu tuliambiwa hawajui kesi za kimataifa.
Dogo unaandika kufurahisha baraza tu au term assignment ya Law College. Hayo yote unayayaongea yamezingatiwa na ICSID Tribunal na ndiyo wametoa hiyo award ya hizo dollars.Unatakiwa useme huo utaratibu ambao aukuzingatia sheria.
Ina maana hatuna sheria unayosema raisi ndio main custodian wa ardhi na ana mamlaka ya kuipangia matumizi.
Kama tuna sheria ya namna hiyo basi raisi akuvunja mkataba kimakosa ana mamlaka hayo, ilo sasa ni jukumu la mwekezaji kujua.
Ata ingetokea shamba tayari lishaendelezwa raisi bado ana mamlaka ya kufuta mkataba only that customary kwenye mkataba wa matumizi ya ardhi hasa kwenye kilimo utalipia fidia ya gharama za mazao yanayotarajiwa kuvunwa as stated in ‘Hutton v Warren (1836).
Na basic rule ya kulipa damages ni kumrudushia mtu hasara iliyowazi kwa kuvunja mkataba, sasa wewe unaweza justify hizo $165 million dollars kwenye mkataba wa kilimo.
Mkataba wenyewe bila hata ya kutumia sheria zozote nimekuwekea vigezo vya implied term awali vinavyoweza vunja mkataba kuna hiyo ‘business efficacy’ (officious bystander test). Hiyo test inatumiwa kumuuliza neutral party kama huo mkataba ni sahihi, zingatia eneo lilikuwa linatumiwa na wakulima na serikali ilikuwa aijawatoa, eneo lipo ndani ya hifadhi na mgogoro ulishafika mpaka bungeni.
Je katika mazingira hayo kutuliza munkari raisi anaweza tumia nguvu yake kubadili matumizi ya ardhi, ata huko ulaya watakwambia sawa especially zama hizi ambazo kampuni zina pressure kubwa huko kwao kwenye sustainable environment na ujirani mwema na locals.
Ni hivi kesi huwa tunashundwa sisi huko kwa mabeberu, halafu tunaishia kuambiwa details za kesi ni siri.
Kwani ni serikali ya Sweden ndiyo ina mgogoro na Tanzania?Waswidi rafiki zetu wanatufanyiaje hivi? Hatuwezi Fanya utaratibu twende ubalozini na mabango kuwakumbusha urafiki wetu wa kihistoria?
Mada imekuwa edited mkuuWEW kummbe kingereza Ina kushida mbna mleta mada ameeleza vzr tu acheni kukurupuka jmn someni Uzi vzr kwa kutulia
Kumbee ndio nyie mnataka kufaulishwa laws school [emoji41] bila kusoma pole Sana
Rudia kusoma
Huu msala wa Lameck sio wa JohnJemedari #SSH atayamaliza kwa diplomasia yake kuntu, Jamaa aliacha misala kibao
Etwege yuko hospital amechoropoa mimba karibu afeTundu Lissu aliwaonya mambo ya MIGA
Eltwege yuko wapi[emoji28][emoji28]
2024???Mikataba mibovu iliyoingiwa 2024 kuludi nyuma ilikuwa inawatesa wananchi, Sasa sijui ya Sasa ni Kwa maslai ya wananchi au,maana kuivunja inaleta asala
Mchezo umeanza 2017.Jiwe ndiyo ali sign hiyo mikataba ya Kifisadi!? Au Jiwe ndiyo alikua anajaribu kupambana na hiyo Mikataba yenu ya Kifisadi mliongia Kama vile hakuna kesho tena!!??
Umemuelewa alichomaanisha huyo uliem quote? Yeye anajaribu kuelezea jinsi tulivyokua tukidanganywa those days. Wewe nawe umechukulia kama huo ndio msimamo wake. Au umemuelewaje?Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!