Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Mikataba mibovu iliyoingiwa 2024 kuludi nyuma ilikuwa inawatesa wananchi, Sasa sijui ya Sasa ni Kwa maslai ya wananchi au,maana kuivunja inaleta asala
 
Enzi za Magufuli wakina Lissu walikuwa wanafurahia hizi news, sahivi wako kimya

Una ushahidi wa Lisu kufurahi?
Hata akifurahia shida’ako nini?
Ndo aliipeleka ndege kwa mdai?
Mara ngapi Lisu kashauri mambo ya mikataba ya kimataifa mkampuuza?

Mkishayakoroga mnataka wote tuungane tuwe wamoja acheni ujinga kwenye mambo kodi za wananchi
 
Ujinga wa kutoheshimu mikataba awamu ya 5.
Undergoes costing the nation.
Mikataba mingi ni ya kijinga na ililenga kulitia taifa hasara kwa manufaa ya watu flani walio kwenye system. Sasa jiwe alikuwa akili kubwa akitazama kwa kina anaona tunapigwa kizembe akawa anaikataa hio mikataba kwa hasira.

Ni sawa tu na kuuziwa mtambo wa solar power kisha katika mkataba uambiwe ili kuutumia lazima uwe unaingiza vocha za mwezi. Yani haiingii akilini mtambo uuziwe kisha ulazimike tena kuingia gharama za service charges halafu unaambiwa usipolipa service charges tunakukatia huduma na utalazimika kulipa fidia ambayo ni mara 100 ya gharama za mtambo. Halafu unakuta eti mtu mwenye akili timamu alisaini hayo makubaliano kabisa kumbe lengo lake ni kula 10% ya hio service charge na 10% endapo serikali itashtakiwa kwa kugomea kulipa hizo service charges ikipelekwa kizimbani.
 
2016 mkataba ulisitishwa.
Yes ila elewa mkataba ni two way traffic, je upande wa pili uliridhia?,definitely kulikua na kipengele cha anayetaka kuvunja mkataba atafidia vipi upande wa pili,hii ndio catch area, tumevunja mkataba kama president wa nchi anapomfukuza mtumishi on the spot (hili nalo ni kosa kubwa, ila kwa mazuzu wanaona ni sawa)
 
Ndo hapo sasa.
Wanasheria wetu tuliambiwa hawajui kesi za kimataifa.
Wanajua sana sema ni part of them ....njama zao ni moja ...kikwete anapiga simu anawaambia wawekezaji watufungulie mashitaka kitakacho patikana tutagawana ....ndiyo maana kipindi cha jpm walishindwa na awakuthubutu kufungua kesi ...hizi kesi ni mchongo wa kutupiga kifisadi ccm na wafungua kesi ni njama moja hao Wanasheria ni njama moja na mafisadi ...ukisikia tumeshindwa kesi utaona baada ya siku chache kikwete anajenga maapatimenti na wanasheria wetu walioshindwa kesi wanajenga mahekaru ya kufa mtu .
 
Unatakiwa useme huo utaratibu ambao aukuzingatia sheria.

Ina maana hatuna sheria unayosema raisi ndio main custodian wa ardhi na ana mamlaka ya kuipangia matumizi.

Kama tuna sheria ya namna hiyo basi raisi akuvunja mkataba kimakosa ana mamlaka hayo, ilo sasa ni jukumu la mwekezaji kujua.

Ata ingetokea shamba tayari lishaendelezwa raisi bado ana mamlaka ya kufuta mkataba only that customary kwenye mkataba wa matumizi ya ardhi hasa kwenye kilimo utalipia fidia ya gharama za mazao yanayotarajiwa kuvunwa as stated in ‘Hutton v Warren (1836).

Na basic rule ya kulipa damages ni kumrudushia mtu hasara iliyowazi kwa kuvunja mkataba, sasa wewe unaweza justify hizo $165 million dollars kwenye mkataba wa kilimo.

Mkataba wenyewe bila hata ya kutumia sheria zozote nimekuwekea vigezo vya implied term awali vinavyoweza vunja mkataba kuna hiyo ‘business efficacy’ (officious bystander test). Hiyo test inatumiwa kumuuliza neutral party kama huo mkataba ni sahihi, zingatia eneo lilikuwa linatumiwa na wakulima na serikali ilikuwa aijawatoa, eneo lipo ndani ya hifadhi na mgogoro ulishafika mpaka bungeni.

Je katika mazingira hayo kutuliza munkari raisi anaweza tumia nguvu yake kubadili matumizi ya ardhi, ata huko ulaya watakwambia sawa especially zama hizi ambazo kampuni zina pressure kubwa huko kwao kwenye sustainable environment na ujirani mwema na locals.

Ni hivi kesi huwa tunashundwa sisi huko kwa mabeberu, halafu tunaishia kuambiwa details za kesi ni siri.
Dogo unaandika kufurahisha baraza tu au term assignment ya Law College. Hayo yote unayayaongea yamezingatiwa na ICSID Tribunal na ndiyo wametoa hiyo award ya hizo dollars.

The rest you are questioning is mere mumbling and rumbling
 
Waswidi rafiki zetu wanatufanyiaje hivi? Hatuwezi Fanya utaratibu twende ubalozini na mabango kuwakumbusha urafiki wetu wa kihistoria?
Kwani ni serikali ya Sweden ndiyo ina mgogoro na Tanzania?
 
WEW kummbe kingereza Ina kushida mbna mleta mada ameeleza vzr tu acheni kukurupuka jmn someni Uzi vzr kwa kutulia

Kumbee ndio nyie mnataka kufaulishwa laws school [emoji41] bila kusoma pole Sana

Rudia kusoma
Mada imekuwa edited mkuu
 
Jiwe ndiyo ali sign hiyo mikataba ya Kifisadi!? Au Jiwe ndiyo alikua anajaribu kupambana na hiyo Mikataba yenu ya Kifisadi mliongia Kama vile hakuna kesho tena!!??
Mchezo umeanza 2017.

Nani alikuwa rais 2017?


EcoDevelopment, which is owned by 18 Swedish citizens and business leaders, brought its ICSID claim in 2017 under the Sweden-Tanzania bilateral investment treaty.
 
Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!
Umemuelewa alichomaanisha huyo uliem quote? Yeye anajaribu kuelezea jinsi tulivyokua tukidanganywa those days. Wewe nawe umechukulia kama huo ndio msimamo wake. Au umemuelewaje?
 
Back
Top Bottom