Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

Kuna video inazagaa mitandaoni ikionesha ndege ya Ukraine ikigongwa na kitu kinachohisiwa kuwa ni kombora muda mchache kabla ya tukio la kuanguka kwake.

Bado naendelea kutafuta udhibitisho wa hii video.
 
Hixo ni propaganda za marekani ndege ilikuwa na hiltrafu xa kiufundi ....boing ndege xao sio salama

Wanwmlinda tu asipoteze soko tayari mrusi kaaanza kutengeneza ndege za kubebe abiria

sent from toyota Allex
 
Wakati haya yakiendelea,

Huko nchini Iraq, kombora ladaiwa kuanguka karibu na kambi yenye vikosi vya jeshi la Marekani (Balad air base).

====

Rocket falls near Iraqi base housing U.S. troops, police sources say. No casualties have been reported according to local sources. [Haaretz]
 
Sina shaka na jambo hilo.
Mazingira yako wazi sana. Katikati ya wasiwasi, tahadhari na kujihami, lolote linaweza kutokea kimakosa.
 
Missile Defense Systems za Iran zilikuwa katika taadhari kubwa wakati wa yale mashambulizi ya kambi za US na pengine ndiyo chanzo cha hii ndege kutunguliwa kwa makosa ikidhaniwa kuwa ni ya adui.
Inawezekana kwa makosa.. radar signature ingeonyesha tofauti ya ndege ya abiria na zingine
 
hizo ni propaganda za marekani na washirika wake na baadhi ya vibaraka wake. ndege hiyo haiwezi gundulika kwa asilimia 100 kuwa ilipigwa na bomu ama la mpaka kibox cheusi kiweze patikana
Swala la iran ku kataa kuwapa marekani kibox hicho mie binafsi naona ni jambo la kawaida maana adui yako huwezi mfanyia vile anataka lazima umwonyeshe kiburi na nguvu zako.

yote kwa yote vita si nzuri hata
 
Attachments

  • 1578599725107-1850381382.jpg
    1578599725107-1850381382.jpg
    87.2 KB · Views: 1
WANATAKA WAZIME ILE ISHU YA KUWA MANDEGE YAO NI MAKOPO, YANAANGUKA WENYEWE
hizo ni propaganda za marekani na washirika wake na baadhi ya vibaraka wake. ndege hiyo haiwezi gundulika kwa asilimia 100 kuwa ilipigwa na bomu ama la mpaka kibox cheusi kiweze patikana
Swala la iran ku kataa kuwapa marekani kibox hicho mie binafsi naona ni jambo la kawaida maana adui yako huwezi mfanyia vile anataka lazima umwonyeshe kiburi na nguvu zako.

yote kwa yote vita si nzuri hata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom