Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nahuu ndio wac wac wang ss ......WANATAKA WAZIME ILE ISHU YA KUWA MANDEGE YAO NI MAKOPO, YANAANGUKA WENYEWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahuu ndio wac wac wang ss ......WANATAKA WAZIME ILE ISHU YA KUWA MANDEGE YAO NI MAKOPO, YANAANGUKA WENYEWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Walifikiri ni ndege ya wamerakani...?Bahati mbaya. Ajali kazini.
Umepost Kipi Hapa MKUU Hamna Hata Mahala Wamethibitisha Kama Ndege Imepigwa
Hawakulenga ndege. Makombora yalitumwa kwenda Iraq,bahati mbaya yalipitia path ya Ndege. Too Sad.
Naelewa sana......
Umepost Kipi Hapa MKUU Hamna Hata Mahala Wamethibitisha Kama Ndege Imepigwa
PUNGUZA MUNKAE
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sasa kwa nini wasikiri,waseme ajali, dunia iwaelewe... Au washafanya hivyo...Hawakulenga ndege. Makombora yalitumwa kwenda Iraq,bahati mbaya yalipitia path ya Ndege. Too Sad.
Mkuu sio kila mtu anaandika kishabiki....ndege imetunguliwa....wanachotaka ni visanduk vya ndege na Iran yenyewe iseme....Umepost Kipi Hapa MKUU Hamna Hata Mahala Wamethibitisha Kama Ndege Imepigwa
PUNGUZA MUNKAE
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo umeleta maybe ss hv unaleta show
Hata mm sija andika kishabiki nime andika kutokana na ulivyo postMkuu sio kila mtu anaandika kishabiki....ndege imetunguliwa....wanachotaka ni visanduk vya ndege na Iran yenyewe iseme....
Wana uhakika....lakini anaepaswa kukiri ni Iran au wachunguzi wa visanduku...ni utaratibu tuHata mm sija andika kishabiki nime andika kutokana na ulivyo post
Yaan mpaka wao wenyewe wanaswma maybe maana hawana uhakika ww uhakika unautolea wap ?! .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unafatilia utakua umepata jibu....Hata mm sija andika kishabiki nime andika kutokana na ulivyo post
Yaan mpaka wao wenyewe wanaswma maybe maana hawana uhakika ww uhakika unautolea wap ?! .....
Sent using Jamii Forums mobile app
BREAKING: Canadian Prime Minister Justin Trudeau says evidence indicates Flight 752 was shot down by an Iranian surface-to-air missile.
Justin Trudeau: "We have intelligence from multiple sources, including our allies and our own intelligence. The evidence indicates that the plane was shot down by an Iranian surface-to-air missile."
👍👍Ukiwa unapiga picha toa flash boss.
dodge
Daaah wabongo bwana. Kwa hiyo zikiwa katika tahadhari ndio zidungue ndege ya abiria? Unadhani hiyo mifumo ni ya kijinga kama hako kasimu kako ka tecno?Missile Defense Systems za Iran zilikuwa katika taadhari kubwa wakati wa yale mashambulizi ya kambi za US na pengine ndiyo chanzo cha hii ndege kutunguliwa kwa makosa ikidhaniwa kuwa ni ya adui.
Ulitarajia usa asemeje?U.S. intelligence officials have evidence that suggests the Ukraine International Airlines jetliner that crashed in Iran on Wednesday, killing 176 people, was downed by an Iranian missile. [NBC News]
Wewe ulitarajia usa asemeje? Unadhani kipigo alichopewa ataacha kujitutumua?Marekani inadai kuwa satellite zake zili-detect makombora mawili yaliyofyatuliwa na mfumo wa anga wa Iran muda mchache kabla ya kuanguka kwa ndege hiyo na kisha kulipuka.