britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kwenye ndege wengi walikuwa wa CanadaKwa hiyo wairan waliamua kuwaua wairan wenzao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ndege wengi walikuwa wa CanadaKwa hiyo wairan waliamua kuwaua wairan wenzao...
Wacanada na wairan pia... Ila nimeambiwa hapo juu waliitungua accidentally..Kwenye ndege wengi walikuwa wa Canada
We ndo msemaji wao[emoji35][emoji35]Missile Defense Systems za Iran zilikuwa katika taadhari kubwa wakati wa yale mashambulizi ya kambi za US na pengine ndiyo chanzo cha hii ndege kutunguliwa kwa makosa ikidhaniwa kuwa ni ya adui.
Uhakika uko wapi wakat hata ushahidi hauja anza kukamilika na hata kufanywa cjui kama ulisha anza kufanywa.....Wana uhakika....lakini anaepaswa kukiri ni Iran au wachunguzi wa visanduku...ni utaratibu tu
It's likely, mfumo wa ulinzi wa anga (Missile Defense System) ulifyatua kombora kimakosa na hivyo kuitungua ndege na si makombora yaliyokuwa yakielekezwa kwenda Iraq.Hawakulenga ndege. Makombora yalitumwa kwenda Iraq,bahati mbaya yalipitia path ya Ndege. Too Sad.
Hixo ni propaganda za marekani ndege ilikuwa na hiltrafu xa kiufundi ....boing ndege xao sio salama
Wanwmlinda tu asipoteze soko tayari mrusi kaaanza kutengeneza ndege za kubebe abiria
sent from toyota Allex
Kabla hatujasema kuwa ni propaganda za Marekani kwanza tuyazingatie mambo yafuatayo;hizo ni propaganda za marekani na washirika wake na baadhi ya vibaraka wake. ndege hiyo haiwezi gundulika kwa asilimia 100 kuwa ilipigwa na bomu ama la mpaka kibox cheusi kiweze patikana
Swala la iran ku kataa kuwapa marekani kibox hicho mie binafsi naona ni jambo la kawaida maana adui yako huwezi mfanyia vile anataka lazima umwonyeshe kiburi na nguvu zako.
yote kwa yote vita si nzuri hata
Possibly by accident!Kwa hiyo wairan waliamua kuwaua wairan wenzao...
Muda mbaya....
Una uhakika gani Iran katungua!watoto wa kwa bibi nyau mna mbwembwe[emoji23]
Wamarekani wajinga kweli satellite zake zimekalia kufuatiria ndege za abilia wanashindwa kufuatiria makombora yaliyo haribu kambi zao.
hizo ni propaganda za marekani na washirika wake na baadhi ya vibaraka wake. ndege hiyo haiwezi gundulika kwa asilimia 100 kuwa ilipigwa na bomu ama la mpaka kibox cheusi kiweze patikana
Swala la iran ku kataa kuwapa marekani kibox hicho mie binafsi naona ni jambo la kawaida maana adui yako huwezi mfanyia vile anataka lazima umwonyeshe kiburi na nguvu zako.
yote kwa yote vita si nzuri hata
Hahaha hahaha Kofi la uso ..Wewe ulitarajia usa asemeje? Unadhani kipigo alichopewa ataacha kujitutumua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka waipeleke usa? Unachosema ni sawa na lissu angekubali kutibiwa muhimbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawa kiongoziPossibly by accident!
Sidhani kwamba waliamua kwa makusudi.