Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

Kwan ndege baada yakufanyiwa ukaguzi haiwez pata ajali how kama ilikua ndege haina shida ila ni uzembe 2 wadereva

US na CANADA Kwanini Ndio Wawe Wao Tu Miongoni Mwamataifa Makubwa Yanayoshikilia Kama Ndege Iliripuliwa Na Iran Millitary Equipments !?

Unamalizaje kuwahusisha IRAN Wakat HataUchunguzi Haujakamilika
Mabaki ya Hizo Missile Zimeonekana Wapi ?!Finally
Nyie Ndio Mlopinga Habari Kutoka Vyanzo Vyandani Ya IRAN Ikiwemo Pars Today Kwamba Wameua Wanajeshi 200s Wa US

Ila Nyie Ndio Mnapingana Pia Na Vyombo Vyahabari Hvyo Hvyo Vya IRAN Kama Sababu Za Ajali Sio Missile Mnakwamia Wap !?

Habari zinazotolewa Na IRAN za UONGO Ila Zinazotolewa na Wengine Ndio Habari Kamili hehehe.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa yaweza kupata ajali baada tu ya kufanyiwa ukaguzi lakini kinachopaswa kutazamwa ni sababu zipi au mazingira gani kitaalamu yaliyosababisha ajali hiyo kutokea.

Uthibitisho wa kimazingira na hata wa kitaalamu uliopo mpaka sasa unakataa kabisa kukubaliana na madai ya awali ya Iran kwamba lilikuwa ni tatizo la kiufundi.

1. Kukatika ghafla kwa mawasiliano. Kitaalamu jambo hilo linaleta mashaka kwamba kulikuwa na hitilafu ya ndani tu na si chanzo kutoka nje.

2. Hitilafu katika vifaa maalumu vya kutunzia kumbukumbu (Black boxes). Kitaalamu, inaleta wasiwasi kwamba ni matatizo tu ya kiufundi.

3. Ushahidi wa mabaki ya kombora linalotajwa kuhusika kuiangusha ndege hiyo, mabaki yamepatikana karibu na eneo ilipoanguka ndege hiyo. Picha zipo.

4. Ushahidi wa video wakati wa ajali yenyewe, wakati ndege ilipopigwa kwa kombora, kuwaka kwake moto, kuanguka na na kisha kulipuka.

Picha zimepigwa na video imerekodiwa katika mji wa Parand. Mji ambao upo karibu kabisa na uwanja wa ndege wa Tehran. Picha na video vyote viwili vina uthibitisho wa mazingira yanayofanana.

Unaweza kusafiri na kwenda eneo la tukio ukajionee mwenyewe.

Unasema kwamba naihusisha Iran wakati uchunguzi haujafanyika.

Lakini,

Kumbuka kuwa Iran ndiyo ilikuwa ya kwanza kabisa kutangulia mapema na kutuambia kwamba ni "tatizo la kiufundi" kabla hata ya huo unaoitwa "uchunguzi" kufanyika.
 
Ukiangalia clip iliyokushwa ndio utajua hakika imetupiwa kombora,ni uhakika ndege ilidunguliwa,na hii ni kutokana ana hali tete iliyokuwepo iran,mda wowote walijua watashambikiwa na na hivyo walikuwa na cautio kali sana na anga yao,nadhan kuna ujumbe mkubwa uliopo ndani ya tukio zima,uhasama wa chini chini utazidi kuongezeka baina ya mataifa,lets seat and watch the trailer
 
Kwan hao wenyewe baada tu ya ajali hawakusema kama ni matatizo ya kiufundi

Mabaki ya missile gani ilo ipiga ndege kwamujibu wa Ripoti

Waache kulia lia wangojee Uchunguzi Umalizike.....
Ni kweli kabisa yaweza kupata ajali baada tu ya kufanyiwa ukaguzi lakini kinachopaswa kutazamwa ni sababu zipi au mazingira gani kitaalamu yaliyosababisha ajali hiyo kutokea.

Uthibitisho wa kimazingira na hata wa kitaalamu uliopo mpaka sasa unakataa kabisa kukubaliana na madai ya awali ya Iran kwamba lilikuwa ni tatizo la kiufundi.

1. Kukatika ghafla kwa mawasiliano. Kitaalamu jambo hilo linaleta mashaka kwamba kulikuwa na hitilafu ya ndani tu na si chanzo kutoka nje.

2. Hitilafu katika vifaa maalumu vya kutunzia kumbukumbu (Black boxes). Kitaalamu, inaleta wasiwasi kwamba ni matatizo tu ya kiufundi.

3. Ushahidi wa mabaki ya kombora linalotajwa kuhusika kuiangusha ndege hiyo, mabaki yamepatikana karibu na eneo ilipoanguka ndege hiyo. Picha zipo.

4. Ushahidi wa video wakati wa ajali yenyewe, wakati ndege ilipopigwa kwa kombora, kuwaka kwake moto, kuanguka na na kisha kulipuka.

Picha zimepigwa na video imerekodiwa katika mji wa Parand. Mji ambao upo karibu kabisa na uwanja wa ndege wa Tehran. Picha na video vyote viwili vina uthibitisho wa mazingira yanayofanana.

Unaweza kusafiri na kwenda eneo la tukio ukajionee mwenyewe.

Unasema kwamba naihusisha Iran wakati uchunguzi haujafanyika.

Lakini,

Kumbuka kuwa Iran ndiyo ilikuwa ya kwanza kabisa kutangulia mapema na kutuambia kwamba ni "tatizo la kiufundi" kabla hata ya huo unaoitwa "uchunguzi" kufanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakulenga ndege. Makombora yalitumwa kwenda Iraq,bahati mbaya yalipitia path ya Ndege. Too Sad.
Hahahah mtaalam Victoria acha kumuingiza chaka mwenzio. Kilichoshambulia kambi za marekani Iraq ni ballistic missiles na kinachohisiwa kuiangamiza ndege ya Ukraine ni surface to air missiles/anti air missiles(makombora ya ulinzi wa anga) kwa maana kuwa yanaweza kutungua ballistic/cruise missiles, ndege au drone. Kwanza hata site zilikotokea zile ballistic missiles na uwanja ilikorukia hii ndege ni maeneo tofauti kabisa
 
Mabaki ya missile gani ilo ipiga ndege kwamujibu wa Ripoti
Missile inayotumika na mfumo wa ulinzi wa anga wa TOR. Made in Russia

Kuna variants mbalimbali kama vile hii hapa chini 9K331 Tor-M1 pamoja na missiles zake.

Mabaki ya missile katika ile ajali ya ndege utayaona kwenye post #2 ya huu uzi.

1578690451960.png

1578690512564.png

1578691187640.png

1578690659118.png

1578690833218.png
 
UPDATE: Iran's Fars News says Iran will announce the reason for the crash of the Ukrainian airliner tomorrow. [Sky News]
 
Kinachonipa msukumo kuandika hapa ni kwamba kwa akili ya kawaida haiwezekani ndege kutunguliwa then isiwake huko huko angani

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hahahah mtaalam Victoria acha kumuingiza chaka mwenzio. Kilichoshambulia kambi za marekani Iraq ni ballistic missiles na kinachohisiwa kuiangamiza ndege ya Ukraine ni surface to air missiles/anti air missiles(makombora ya ulinzi wa anga) kwa maana kuwa yanaweza kutungua ballistic/cruise missiles, ndege au drone. Kwanza hata site zilikotokea zile ballistic missiles na uwanja ilikorukia hii ndege ni maeneo tofauti kabisa
Wameashaadmit kuwa waliitungua kwa bahati mbaya. Ila wanajitetea walifikiria ni Ndege Hostile
 
Sasa kwa hali hii unaweza kuwage war na taifa kama marekani kweli?
Thubutu. Kwanza hawakujua huko angani madude kibao yame zoom ncbi sehemu zote nyeti. USA wanasema walipowasha mtambo tu wa
Sa 15 Sattelite zikanasa. Waka trace makombora yanaelekea kwenye ndege. Nadhani walitaka kuharibu black box wakashindwa ikabidi waombe poo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hixo ni propaganda za marekani ndege ilikuwa na hiltrafu xa kiufundi ....boing ndege xao sio salama

Wanwmlinda tu asipoteze soko tayari mrusi kaaanza kutengeneza ndege za kubebe abiria

sent from toyota Allex

Haya leo unasemaje? Bado ni propaganda tu,mambo mengine muwage wasikilizaji kwanza kuliko kujifanya wajuaji wa kila kitu
 
hizo ni propaganda za marekani na washirika wake na baadhi ya vibaraka wake. ndege hiyo haiwezi gundulika kwa asilimia 100 kuwa ilipigwa na bomu ama la mpaka kibox cheusi kiweze patikana
Swala la iran ku kataa kuwapa marekani kibox hicho mie binafsi naona ni jambo la kawaida maana adui yako huwezi mfanyia vile anataka lazima umwonyeshe kiburi na nguvu zako.

yote kwa yote vita si nzuri hata

Tupe maoni yako leo hii baada ya Iran kukiri
 
Back
Top Bottom