Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha🤣
Kakuchafulia amani ya nchi yako?Hazijatokea tena ila anauwa watu kama hana akili
US Ndio Mchafuzi wa AMANI Ya DUNIA Hii.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliwaka huko huko angani.Kinachonipa msukumo kuandika hapa ni kwamba kwa akili ya kawaida haiwezekani ndege kutunguliwa then isiwake huko huko angani
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Wameshakili kuwa wameitungua unintentionally. What do you say about that?
Sasa kwa hali hii unaweza kuwage war na taifa kama marekani kweli?
Punga akigoma kukuletea msaada utaishi hivyo unavyoishi wewe?
.
Huko kuna uhuru wa maisha mtu anaishi anavyotaka sio Bongo unaishi serikali inavyotaka.
Alafu waulize abdool wenzio kwanini wanakimbilia sana Canada
Kwa sababu waajemi ndio walioanzisha WW1&WW2 sio?Dunia bila waarabu na hawa jamii ya wajemi ingekua na amani sana
Kwahiyo baada ya kambi zake kupigwa na makombora ulitaka amobilize Jeshi lake gafla tu after attack? Vita is all about strategies mkuu, it takes a lot to reach a point of "Now I declare a war against Iran"Unafkiri sababu ya Marekani kuingiza mkia koko aoipotawanyiwa zile kambi zake ni nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bahati mbaya.Kwa hiyo wairan waliamua kuwaua wairan wenzao...
Kwa sababu waajemi ndio walioanzisha WW1&WW2 sio?
Sababu pia Waajemi ndio waliopiga mabomu Nagasaki na hiroshima sio?
dodge
Mkuu nakushauri punguza ushabiki katika kutoa hoja au pia chili dhidi ya taiga Fulani katika hoja zako.
Mwanzo ulikaidi kuwa Iran hajatungua ndege na unasema ni propaganda sasa unasmisha mada baada ya kuona Iran wamekiri.
Chunguza kwanza then njoo na hoja na pia Jaribu kusimamia ukweli hata kama haukupendezi ..ikiendelea hivi itafanya watu wa doubt kuhusu uwezo wako wa ku-urgue logical..
Kumbuka si kila jambo litakalotokea litatokea kwa namna ambayo itakupendeza wewe kuna mengine yatatokea kukuumiza au kukukera..sasa usitake kuyabadilisha ili yaonekane namna utakavyopenda(conspiracy theory) kama ulivyojaribu kufanya katika mada hii..na siyo wewe tu mupo wengi humu.
#nilikuwa nakufuatilia tokea mwanzo wa uzi
Ahsante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo baada ya kambi zake kupigwa na makombora ulitaka amobilize Jeshi lake gafla tu after attack? Vita is all about strategies mkuu, it takes a lot to reach a point of "Now I declare a war against Iran"
Chukua kikombe cha kahawa kunywa taratibu ukisubiria hatua itakayofuata. Mambo bado mabichi Sana...
Aliwaita viongozi wa africa au waafrica wote?Uhuru wa mashoga utaishia huko huko ulipo na sio tulipo sisi.
Tatizo la mnaojifichia kwny kivuli cha dini mnajua kila anayeitetea Iran ni muislam.
Hilo swali la kukimbiia ungewauliza wakina dada cheupe wenzio huko ulipo,pengine wangekupa jibu muafaka.
Trump hakukosea kuita waafrica ni shitholes,yuko sahihi kabisa fuckin shitholes.
dodge
Hahah shitholes bana,pata jibu hapo chini.Aliwaita viongozi wa africa au waafrica wote?
Muwe na taarifa sahihi hata mara moja moja
Hio ni sawa na COVFEFE?
Ignored