Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

Kwan lazma amani ichafuliwe kwako ndio ujue kama ime chafuliwa au hio ndege ilo ripuliwa huko IRAN Unaiongelea sana Au Ndege Ya Nchi Yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwapendi waliotungua ndege yani natamani leo kesho vita itokee nafahamu naweza nikawa sehemu ya watakaokwenda kule
 
Nadhani sasa utaamini tunapo sema wanaotumia x badala ya s kwenye maneno akili zao zipoje,
Rudia kusoma ulichoandika hasa baada ya Iran kukiri
Hixo ni propaganda za marekani ndege ilikuwa na hiltrafu xa kiufundi ....boing ndege xao sio salama

Wanwmlinda tu asipoteze soko tayari mrusi kaaanza kutengeneza ndege za kubebe abiria

sent from toyota Allex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wameandamana kwa maelfu kuipinga serikali,
Hongera kwa huo unaosema umoja
Sasaivi Iran inaonekana chungu sana aiseee kwa mataifa ya magharibi, Umoja wao ndio ulipowafikisha apa, hongera sana Iran kwa ujasiri uliouonesha, hapa nimejifunza ktk maisha apana kukata tamaa licha ya changamoto unazopitia


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usiombe vitoker hapo nchini kwako kwanza ili uwe sehemu yawatakao kwenda hapo hapo nchini kwako
Siwapendi waliotungua ndege yani natamani leo kesho vita itokee nafahamu naweza nikawa sehemu ya watakaokwenda kule
Mnahisi kuwaombea wenzenu mabalaa ndio yatawafika kama mnavyotaraji

Poleni sanaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom