Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Sasa unataka waipeleke usa? Unachosema ni sawa na lissu angekubali kutibiwa muhimbili.Inasemekana ilitunguliwa kimakosa.
Black box bado wanayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unataka waipeleke usa? Unachosema ni sawa na lissu angekubali kutibiwa muhimbili.Inasemekana ilitunguliwa kimakosa.
Black box bado wanayo.
Aisee!!Na hiyo ni moja ya evidence inayotajwa kitaalamu kuwa huenda ilitunguliwa.
"Multiple Sources"'including our allies'
Ambao ni wamarekani,hahah.
dodge
Vyanzo gani? Vyanzo vipi?Yes!
Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo mbalimbali.
Hao allies ni akina nani kama sio hao usa na israel?BREAKING: Canadian Prime Minister Justin Trudeau says evidence indicates Flight 752 was shot down by an Iranian surface-to-air missile.
Justin Trudeau: "We have intelligence from multiple sources, including our allies and our own intelligence. The evidence indicates that the plane was shot down by an Iranian surface-to-air missile."
Huyu mleta mada naye sijui kichwa chake kina kazi gani kwa kweli!!'including our allies'
Ambao ni wamarekani,hahah.
dodge
Habari ziko mbali sana.....huenda umechelewa!!
"Including our allies.. ""Multiple Sources"
NATO = USA (aliyetoka kupokea kipigo)Multiple sources=NATO
dodge
Jifunze lugha usiwe kama yule profesa.Habari ziko mbali sana.....huenda umechelewa!!
Usingekua na haraka ungeelewa..
Unaelewa maana ya "Multiple Sources"?Multiple sources=NATO
dodge
Unaelewa maana ya "Multiple Sources"?
Bila shaka,