FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #21
Una uhakika gani Iran katungua!watoto wa kwa bibi nyau mna mbwembwe[emoji23]
Wamarekani wajinga kweli satellite zake zimekalia kufuatiria ndege za abilia wanashindwa kufuatiria makombora yaliyo haribu kambi zao.Marekani inadai kuwa satellite zake zili-detect makombora mawili yaliyofyatuliwa na mfumo wa anga wa Iran muda mchache kabla ya kuanguka kwa ndege hiyo na kisha kulipuka.
Yes!
Hixo ni propaganda za marekani ndege ilikuwa na hiltrafu xa kiufundi ....boing ndege xao sio salama
Wanwmlinda tu asipoteze soko tayari mrusi kaaanza kutengeneza ndege za kubebe abiria
sent from toyota Allex
Inawezekana kwa makosa.. radar signature ingeonyesha tofauti ya ndege ya abiria na zingineMissile Defense Systems za Iran zilikuwa katika taadhari kubwa wakati wa yale mashambulizi ya kambi za US na pengine ndiyo chanzo cha hii ndege kutunguliwa kwa makosa ikidhaniwa kuwa ni ya adui.
HahahUna uhakika gani Iran katungua!watoto wa kwa bibi nyau mna mbwembwe[emoji23]
propaganda za mmarekani banaaahiyo black box yenyewe wanakwambia sehemu ya kutunza kumbukumbu imeharibiwa vibaya
hizo ni propaganda za marekani na washirika wake na baadhi ya vibaraka wake. ndege hiyo haiwezi gundulika kwa asilimia 100 kuwa ilipigwa na bomu ama la mpaka kibox cheusi kiweze patikana
Swala la iran ku kataa kuwapa marekani kibox hicho mie binafsi naona ni jambo la kawaida maana adui yako huwezi mfanyia vile anataka lazima umwonyeshe kiburi na nguvu zako.
yote kwa yote vita si nzuri hata
Bahati mbaya. Ajali kazini.Kwa hiyo wairan waliamua kuwaua wairan wenzao...