Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mataga mnachekesha kweliNaibu waziri wa afya Dkt. Mollel amesema ameridhishwa na namna Waziri wa Utalii Dkt. Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.
Dkt. Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama zilivyobainishwa katika mwongozo wa Wizara yake. Dkt. Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.
Chanzo: ITV habari!
Dk Mollel ni Jembe. Ndio maana Chadema wanamchukia.Naibu waziri wa afya Dkt. Mollel amesema ameridhishwa na namna Waziri wa Utalii Dkt. Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.
Dkt. Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama zilivyobainishwa katika mwongozo wa Wizara yake. Dkt. Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.
Chanzo: ITV habari!
Bora wangesema wameanza kudondoka.Ndio tuliambiwa wameanza kumiminika? Tuache usanii Wajameni
Hayakuhusu ulitakiwa ujue Hilo kabla tatizo chadema mnataka kushika nchi wakati ujinga wa mambo madogo haya ya protocol hamjui.Ulitakiwa ukiona tu ile protocol akili zako.kama zimo ujue Kuna mtu mwenye nazo.anapokelewa.Ni Nani it is non of your businessHaya tuambie huyo ni tajiri au Celeb, gani, anaitwa nani, katoka nchi gani??--- CCM taabu kweli!!!--- aliyekuwa mwenyekiti wenu alishawaambia; Akili za kuambiwa changanya na zako.
Hapo kuna ujinga gani nyie wana Chadema mliolaniwa. Utalii ni source of income katika mataifa mengi. Hata ulaya wamefungua na wanaonyesha ukarimu. Nyie hamuitakii mema Tanzania.Hivi huu ujinga wa sasa hivi wanaccm walikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kufanya huo ujinga uonekane, au huu ujinga ndio umeanza sasa?
ya viwonderwatalii wawili ndiyo kundi?
😃😃Wewe umeongeza chumvi, sio watalii wawili ni mtalii mmoja tu.
ain't two tourists but just one.
Mbona mikengeza ya Mbowe huisemi? Ule sio ulemavu wa macho!Ni kweli, hivi Kigwangalla ana ulemavu wa macho (kipofu)? Naona kavaa miwani ya watu wenye ulemavu wa macho.
Hapo kuna ujinga gani nyie wana Chadema mliolaniwa. Utalii ni source of income katika mataifa mengi. Hata ulaya wamefungua na wanaonyesha ukarimu. Nyie hamuitakii mema Tanzania.
Kwani kuna tatizo gani?mteja ni mfalmeKwa hiyo ndio apokelewe na waziri hata kama ana pesa? Ujinga hata uufiche vipi haiwezekani ufichike.
Mataga wengi ukiwafuatilia kwa karibu sana ni mataahira wa kawaida kabisa.Mataga mnachekesha kweli
Hivi huu ujinga wa sasa hivi wanaccm walikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kufanya huo ujinga uonekane, au huu ujinga ndio umeanza sasa?
Apo cost iliyotumika kupokea watalii wawili ni mara 100 ya posa watakayotuachia hapa nchiniHapo kuna ujinga gani nyie wana Chadema mliolaniwa. Utalii ni source of income katika mataifa mengi. Hata ulaya wamefungua na wanaonyesha ukarimu. Nyie hamuitakii mema Tanzania.
Wapuuzi kama nyie mnatakiwa kuwa jera tuHaka kajamaa hivi huwa zianamtosha na kale kakichwa kake?
Hivyo naibu waziri wa wizara ya Afya alikuwa anamkagua waziri wa wizara ya Utalii?
Ushamba mtupu.
Serikali ya kishamba.