Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Yes hii inaonesha dhahir kua TANZANIA watu wameelewa kuwa tumeishinda Corona
Mzungu mwenyewe kakubali hajavaa barakoa.Wenzetu Wana means zao za ku verify hawategemei zinazotolewa na wanasiasa wa upinzani .Hapo washajihakikishia independently kuwa Tanzania Ni safe imeishinda corona
 
Hii serikali inafanya vitu vya kijinga hadi vinatia hasira. Molel na kigwala wote ni madoctor ila ujinga wanaofanya ni sawa na wagonjwa wa milembe.
We ndio mjinga uko nje unapiga kilakitu huku serkali inafanya kazi mnataka nini tena
 
Wewe mwanaume ambaye hujakamilila lini ulichoma fedha
 
Hivi huu ujinga wa sasa hivi wanaccm walikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kufanya huo ujinga uonekane, au huu ujinga ndio umeanza sasa?
Nasubiri mwisho wa yote haya utakuwaje.
Kama ndio itakuwa kawaida ya maisha yetu toka hapa kwenda mbele, nadhani tutakuwa taifa la ajabu sana kuwahi kutokea!
 
Huo ndio uzalendo,nami namuusia mheshimiwa waziri,chapa kazi...
 
Haki ya mungu watu sasa watajivua nguo kwa kutafuta kick
 
Hivi ukiachia dokta slaa...chadema.ilishawahi kuwa na madokta???.

..



Ai wamejaa wapiga dili na wapiga ramli pale ufipa...


Watalii hata wangekuja wawili..bado ni watalii..

Na ngoja turkish airlines inatua wiki hii, bado emirates, fly dubai...mtanyooka tu...

Ethiopian airlines ndo kwanza wameanza.


Viva JPJM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…