Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Nimeona hadi wacheza ngoma wanapokea mabeberu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Tundu Lissu na Zitto Zubery Kabwe?Asante kwa taarifa hii, nashuhudia live mubashara hapa kuputia TBC.
P
Siyo Abari,....... Habari.Abari hii mimi sipendi jamani roho inaniuma.yani nimechukia kweli kwa nini sasa watalii wanakuja wakati corona bado ipo?
Mimi sipende nione tz yangu inafanikiwa.
By:nafsi za wapinga mambo mazuri wa tz.
Hakuna milioni 2 bila 200Nchi iliyokua inategemea watalii milioni 2 leo inashangilia watalii mia 2, aisee.
Kuna ubaya gani?Watalii toka Ethiopia.
Jinga Sana wewe. Ulitaka hiyo ndege ibebe watalii million 2 ndo nchi ihangaike? Au hujui million 2 wanapatikanaje?Nchi iliyokua inategemea watalii milioni 2 leo inashangilia watalii mia 2, aisee.
Hakuna anayeumia acha kujishuku na acha kabisa kuwasimanga Watanzania wenzako kwani hii nchi ni yetu sote siyo ya magu na kwaya yakeKuna watu wanaumia! Mungu ibariki Tanzania! Pia mlinde Rais wetu na kumpa maisha marefu! Amina!
Hivi watu Wana matope vichwani kwani watalii million 2 wanakuja siku moja?Huwa wanakuja wangapi kwa siku boss?
Tanzania ikishinda kila mmoja anashinda.Asante kwa taarifa hii, nashuhudia live mubashara hapa kuputia TBC.
P
Hakyamungu nimepost bila kusoma hii post yako kumbe nawewe umekna Kama Mimi ? Mimi nimeona abiria sita tu au hii ni promo ya kuwaumiza wakenya? Sidhani Kama ita work halafu Bora msingeonyesha hii aibu.Duh sasa mbona wameshuka abiria kama 7 tu kwenye ndege yenye kubeba abiria takriban 170...
Duh sasa mbona wameshuka abiria kama 7 tu kwenye ndege yenye kubeba abiria takriban 170...
Hata ka picha jamani.Ni ndege ya shirika la Ethiopia. Imeleta watalii zaidi ya 200. Ni ndege ya abiria.
Corona imeisha tuchape kazi