Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Hii ni habari tena kubwa tu kwa wadau wa utalii ukizingatia wengine ndo kwanza wanafungia watu ndani.

Tutegemee porojo kibao kutoka kwa washindani wa biashara hii na wale jamaa.
 
Mbaya zaidi wote wenye mawazo tofauti na yeye au gvt wanaitwa wasaliti sio wazalendo vibaraka wa mabeberu ameligawa taifa kwelikweli sio uongo.nchi yetu sote lakini eti wengine wanageuka wasaliti kisa hawakubaliani na vipaumbele yake.
Safari akagombee tu udiwani Chato ndo atawezapata hakuna mjinga atakubali kuumizwa 5yrs again
 
Nyumbuuuz wanafikiria waje kwa style ipi[emoji16]
Huo upumbavu mnaoushangilia unawafaa ninyi panyabuku wa lumumba! Yaani mnokosa aibu na hata Soni hamuoni! Hao watalii 200 waliingiaje kwenye ndege ya kubeba watu wasiozidi 170? Au wengine walisimama baada ya kukosa siti?
Jifunzeni kuusema uongo unaofanana na ukweli Basi eeh!
Walioshiuka hapo ni wazungu Saba tu, hao wengine wameshukia mlango wa kuchora wa kule kulia?
Huu uzwazwa mmaodhani watanzania wote wanao sio sawa Bali uzwazwa ni wa kakikundi la ccm kanachodhani kana akili kuliko wengine! Mmejichora kijinga mno!
 
Du ukisikia kufilisika ndiyo huku. Awamu zote watalii wanakuja lakini awamu hii kuja kwa watalii imekuwa ni habari kubwa kabisa. Ukweli ni kwamba itachukuwa muda mrefu ili hali irudie kama zamani. Nchi kama Thailand zinazoongoza kwa utalii mpaka sasa hali siyo nzuri halafu waje huku ambako takwimu zinafichwa? Watalii 200 ni wachache sana na itachukuwa muda hali ya zamani kurudi.
Idadi ya watalii imepungua hivyo lazima wafanye propaganda mfu
 
Hahahha yaani wanatumia nguvu kubwa jamani. Hali itarudi normal kuanzia 2021 na hapo virus apotee au chanjo ya kinga ipatikane.
Kwanini wasiwe wakweli tu ?
Kila mtu anajua hali ya dunia ilivyo
 
#AVIATION – Projected airport reopening dates across the world

World Airports opening dates 🛩🛬🛫✈

1. Lebanon 🇱🇧 July 15, 2020
2. Bahrain 🇧🇭 June 10, 2020
3. Qatar 🇶🇦 June 10, 2020
4. Jordan 🇯🇴 July 15, 2020
5. Iraq 🇮🇶 (Air Corridor) August 1, 2020
6. Iran 🇮🇷 August 1
7. Egypt 🇪🇬 August 1
8. Saudi Arabia 🇸🇦 August 1, 2020
9. Tunisia 🇹🇳 August 1
10. sweat Baghdad 🇮🇶 first of August month
11. Japan 🇯🇵 June 15, 2020
12. Northern Macedonia 🇲🇰 June 15, 2020
13. Lithuania 🇱🇹 June 15, 2020
14. Hungary 🇭🇺 June 15, 2020
15. Poland 🇵🇱 June 15, 2020
16. Romania 🇷🇴 June 15, 2020
17. Serbia 🇷🇸 June 15, 2020
18. Netherlands 🇳🇱 June 20, 2020
19. Kazakhstan 🇰🇿 June 20, 2020
20. Albania 🇦🇱 June 22, 2020
21. Bosnia and Herzegovina 🇧🇦 June 22, 2020
22. Denmark 🇩🇰 June 22, 2020
23. Estonia 🇪🇪 June 22, 2020
24. Finland 🇫🇮 June 22, 2020
25. South Korea 🇰🇷 June 22, 2020
26. Ireland 🇮🇪 June 22, 2020
27. Kyrgyzstan 🇰🇬 June 22, 2020
28. Latvia 🇱🇻 June 22, 2020
29. Norway 🇳🇴 June 22, 2020
30. Slovakia 🇸🇰 June 22, 2020
31. Australia 🇦🇺 July 1, 2020
32. Belgium 🇧🇪 July 1, 2020
33. Belarus 🇧🇾 July 1, 2020
34. China 🇨🇳 (Beijing only) July 1, 2020
35. Sweden 🇸🇪 July 1, 2020
36. Canada 🇨🇦 July 1, 2020
37. Colombia 🇨🇴 July 1, 2020
38. Kosovo 🇽🇰 July 1, 2020
39. Malaysia 🇲🇾 July 1, 2020
40. Moldova 🇲🇩 July 1, 2020
41. Uzbekistan 🇺🇿 July 1, 2020
42. Republic of Taiwan 🇹🇼 July 1, 2020
43. Turkmenistan 🇹🇲 July 1, 2020
44. Ukraine 🇺🇦 July 1, 2020
45. Indonesia 🇮🇩 July 10, 2020
46. India 🇮🇳 July 10, 2020
47. Pakistan 🇵🇰 July 10, 2020
48. Algeria 🇩🇿 July 15, 2020
49. Morocco 🇲🇦 July 15, 2020
50. Philippines 🇵🇭 July 15, 2020
51. South Africa 🇿🇦 July 15, 2020
52. Georgia 🇬🇪 (only for Georgia City) July 15, 2020
53. UK 🇬🇧 July 15, 2020
55. Kuwait 🇰🇼 July 15, 2020
56. Libya 🇱🇾 July 15, 2020
57. Cyprus (Turkish side) June 1, 2020
58. Russia 🇷🇺 July 15, 2020
59. Bulgaria 🇧🇬 June 10, 2020
60. Brazil 🇧🇷 August 1
61. Armenia 🇦🇲 August 1, 2020
62. France 🇫🇷 August 1
63. Greece 🇬🇷 June 10, 2020
64. Germany 🇩🇪 June 15, 2020
65. Spain 🇪🇸 August 1
66. Italy 🇮🇹 August 1
67. Austria 🇦🇹 June 15, 2020
68. Azerbaijan 🇦🇿 June 15, 2020
69. Czech Republic 🇨🇿 June 15, 2020
70. USA 🇺🇸 September 1, 20
71. Switzerland 🇨🇭 June 15, 2020
72-UAE first flight to Beirut airport on 1 / 7
 
Huo upumbavu mnaoushangilia unawafaa ninyi panyabuku wa lumumba! Yaani mnokosa aibu na hata Soni hamuoni! Hao watalii 200 waliingiaje kwenye ndege ya kubeba watu wasiozidi 170? Au wengine walisimama baada ya kukosa siti?
Jifunzeni kuusema uongo unaofanana na ukweli Basi eeh!
Walioshiuka hapo ni wazungu Saba tu, hao wengine wameshukia mlango wa kuchora wa kule kulia?
Huu uzwazwa mmaodhani watanzania wote wanao sio sawa Bali uzwazwa ni wa kakikundi la ccm kanachodhani kana akili kuliko wengine! Mmejichora kijinga mno!
Kwa hiyo wewe unatakaje?
 
Kwa hiyo wewe unatakaje?
Unamfokea Nani? Kajambe mbele huko! Ati nataka Nini? Huoni hata aibu! Haya nataka uwe housegirl wangu! Upo tayari kuanza kazi usiku huu?
 
Kwa mustakabali na maslai mapana ya Taifa letu John Pombe Joseph Magufuli, haifai kupewa hata dakika moja, au nafasi nyingine ya kuongoza taifa letu, ametutia aibu Sana , ameturudisha nyuma Kama taifa kwa miaka zaida ya 10, hasara aliyotupa wajukuu zetu hawataweza kulipa
Ingawa shetani huwa anajua kuwa Hana ubavu wa kupambana na Mungu Mwenyezi, cha ajabu huwa anajikakamua kutaka kujaribu udhaifu wake unaishia wapi, kaleta Corona kapambana na kichapo cha mbwa Koko kutoka Kwa Muumba, na sasa kapandikiza watu wanaopinga kumpa nguvu Uchwala eti Corona bado ipo tena Kwa kiwango cha juu,, mtapokea kichapo na Shetani pamoja

Aliyechaguliwa na akapewa upendeleo hata ukifanya Mbinu gani kumchafua, zote zitagonga mwamba tu, haijalishi udhaifu unaouona wewe, madamu kapata upendeleo Kwa Muumba mtapiga kelele Hadi koo zitauma, subirini zamu yenu, Mungu aliyeruhusu usiyempenda awe Raisi basi aweza pia kukupa wewe, usikate tamaa mkuu
 
Kwa mustakabali na maslai mapana ya Taifa letu John Pombe Joseph Magufuli, haifai kupewa hata dakika moja, au nafasi nyingine ya kuongoza taifa letu, ametutia aibu Sana , ameturudisha nyuma Kama taifa kwa miaka zaida ya 10, hasara aliyotupa wajukuu zetu hawataweza kulipa
Ni vyema ukathibitisha kauli zako.
 
Kwamba ndege kutua airport na wageni ni habari inayokuwa live? Kwenye TV ya umma. only in Tanzania.
Kutokana na situation ilivyo,hii ni habari kubwa tu. Nchi zilifunga anga, hivyo kuanza kupokea wageni lazima iwe habari. Nakuhakikishia tegemea kusikia habar za hivi kuanzia leo na kuendelea,kwamba "Nchi fulani imefungua anga na kupokea wageni kadhaa."
 
Halafu unakuta mtu anaanzisha thread sijui tujitoe WB or mabeberu wasitupangie embu cheki hiyo desperation ya kupata watalii ndio ujue hazina hali sio nzuri.

Ni jambo jema uchumi urudi kwenye hali ya kawaida as soon as possible serikali ipate mapato yake na biashara zifaidike, but this is just a show of desperation to the world.

Unapoona nchi kama Venezuela inaagiza mafuta yaliyosafishwa na mtu pekee mwenye jeuri kumpelekea duniani has got nothing more to loose ndio ujue kumvaa beberu uwe umedhamiria kweli kupigika ki uchumi.

Kama atuwezi vumilia hata miezi mitatu ya mtikisiko wa kiuchumi ulioikumba dunia tutaweza sanctions kweli watanzania wanao zililia kila siku.
 
Unamfokea Nani? Kajambe mbele huko! Ati nataka Nini? Huoni hata aibu! Haya nataka uwe housegirl wangu! Upo tayari kuanza kazi usiku huu?
Duh ..pole mwanangu...una umri gani...ulishawahi kuwaambia wazazi wako kwa maana ya baba na mama maneno uliyoandika hapa?! Kama bado ni vema ungeanza kuwaambia wao kwanza uone itakavyokuwa.....halafu, hivi kulikuwa na ulazima wa wewe kuandika hivyo?! Una mfadhaiko wa akili bila Shaka...
 
Back
Top Bottom