Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Wametumia Ethiopia airline
Sio ATCL?
Mbona tuliambiwa tunanunua madege ili watalii wetu wasipitie Kenya maana wanabakiaga huko.
.
Na aim yetu ni kufikisha watalii 10 million woiii 😥
 
Tuwe waangalifu kushangilia sana ujio wa hawa watalii; ingawa tumejiaminisha kuwa tumeithibiti corona inawezekana kabisa kuwa hawa hawa tunaowaita watalii wakatuletea madhara kwa kutuletea maradhi zaidi na sio corona tu bali virusi vingine wanavyovitengeneza kwenye maabara zao. Tusiwaamini sana hasa wazungu na machina hawatutakii mema waafrika!!
Nimekuelewa bwashee!
 
Kwa mustakabali na maslai mapana ya Taifa letu John Pombe Joseph Magufuli, haifai kupewa hata dakika moja, au nafasi nyingine ya kuongoza taifa letu, ametutia aibu Sana , ameturudisha nyuma Kama taifa kwa miaka zaida ya 10, hasara aliyotupa wajukuu zetu hawataweza k

Ametumia 5yrs kupambana na upinzani badala ya kupambana na umasikini wetu
 
Hawana aibu alafu sijui wanamdanganya nani?
Hakyamungu nimepost bila kusoma hii post yako kumbe nawewe umekna Kama Mimi ? Mimi nimeona abiria sita tu au hii ni promo ya kuwaumiza wakenya? Sidhani Kama ita work halafu Bora msingeonyesha hii aibu.
 
Hahahha yaani wanatumia nguvu kubwa jamani. Hali itarudi normal kuanzia 2021 na hapo virus apotee au chanjo ya kinga ipatikane.
 
Kwa mustakabali na maslai mapana ya Taifa letu John Pombe Joseph Magufuli, haifai kupewa hata dakika moja, au nafasi nyingine ya kuongoza taifa letu, ametutia aibu Sana , ameturudisha nyuma Kama taifa kwa miaka zaida ya 10, hasara aliyotupa wajukuu zetu hawataweza kulipa
Punguza kulala kiongozi
 
acha wivu wa kike
 
Kwann usitafute nchi unayo hisi wew itakufaa ukaishi?
 
Yeyeto lkn si yeye again,tutavuna mabua, ameumiza Makundi yote ktk Jamii,ametumia 5yrs kupambana na watu badala ya kupambana na umasikini wetu
Mbaya zaidi wote wenye mawazo tofauti na yeye au gvt wanaitwa wasaliti sio wazalendo vibaraka wa mabeberu ameligawa taifa kwelikweli sio uongo.nchi yetu sote lakini eti wengine wanageuka wasaliti kisa hawakubaliani na vipaumbele yake.
 
Back
Top Bottom