Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

Kwangu si one time taste. Nina panda sana, na wakati mwingine saa 11 alfajiri. A best cup of coffee kunichangamsha ni kitu cha kwanza. Sasa unapambana na maji yaliyowekewa kahawa.
Kuhusu ATC kuwa siyo shirika la kahawa napo siyo sahihi. Ile multplier effect iko wapi? Mbona korosho yao ni top class, au hivyo vinywaji including wine ya dodoma na nzuri tu.
Kwa ufahamisho, hili ni shirika letu, na tunalishauri lijipange. Bado naamini wazalishaji wa kahawa bora wanaweza kuwasaidia ikiwa ni eneo la kutangaza na kuboresha huduma yake.
Ushauri mzuri
But u can get ur own mug of coffee at home though and drink on ur way to the airport
So u have a pleasant flight later
 
Kwangu si one time taste. Nina panda sana, na wakati mwingine saa 11 alfajiri. A best cup of coffee kunichangamsha ni kitu cha kwanza. Sasa unapambana na maji yaliyowekewa kahawa.
Kuhusu ATC kuwa siyo shirika la kahawa napo siyo sahihi. Ile multplier effect iko wapi? Mbona korosho yao ni top class, au hivyo vinywaji including wine ya dodoma na nzuri tu.
Kwa ufahamisho, hili ni shirika letu, na tunalishauri lijipange. Bado naamini wazalishaji wa kahawa bora wanaweza kuwasaidia ikiwa ni eneo la kutangaza na kuboresha huduma yake.
Niliposema one time taste si km ur not a frequent flier
But heyy u can have a cup at home or later at the office or elsewhere
I dont know maybe cuz m not a foodie💅🏽
I always take away hata korosho zinanipa gesi nawapa wengine wale
 
ATC ni wajinga sana,wanatoa beer moja ukimaliza ukiuliza ya pili wanakimbia kujificha huko nyuma mimi sipandi ndege njaa.

Siku moja natoka KIA kwenda DAR na hizi pangaboi yaani masikio yanauma utafikiri umepigwa ngumi halafu sijui rubani alikuwa mwanafunzi yaani ndege ilisota wakati wa kutua abiria jasho lilitutoka.
Mkuu nilibahatika kupata sijui ilikuwa safari hizi za makopo mbili na hapo counter ya airport nasubiria ndege nilipata via Tatu safari eebhana nilikojoa mara kibao humo kwa ndege daah sio kawaida kabisa Dsm-Kia and return
 
Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATC, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
umepimaje kuwa kahawa ina ubora wa chini?
 
Kahawa ya kijiwe cha mchikichini inatosha. Unapanda ndege bei kubwa alafu una-mind kahawa ya shilingi 20 kikombe!
Ndo maana nasema hongeren kwa kupanda mwewe ! Sisi tunaziona kwa mbaali! Ila kuna lile linapiga mwano likikaribia kutua! Nadhan hyo gahawa chungu kama ya kwa hangwa kisesa inapatikana humo
 
Nimeongea nao hivi punde wanasema kama bas hamjapenda gahawa yao wataanza kupika na kuhudumia al kasusu ya asali au maziwa! Manina zenu mnaenda kusafiri au kunywa gahawa?
 
ATC ni wajinga sana,wanatoa beer moja ukimaliza ukiuliza ya pili wanakimbia kujificha huko nyuma mimi sipandi ndege njaa.

Siku moja natoka KIA kwenda DAR na hizi pangaboi yaani masikio yanauma utafikiri umepigwa ngumi halafu sijui rubani alikuwa mwanafunzi yaani ndege ilisota wakati wa kutua abiria jasho lilitutoka.

Nakubali hoja yako
Alafu kuna siku hata wine hawana wa hovyo hawa nikawaambia wekeni kibuku! Au siku ingine wana juice za azam tu hovyo kabisa ! Sijui wakoje hawa
 
Punguzeni njaa jmn
Local flights nyingi 1 hr na ushee kidogo unataka ukashibie kwenye ndege
Si mle makwenu ama mgahawa wa Airport?

Binafsi huwa naishia kunywa maji ama soda tu hata korosho nakuwa sina njaa

Kula ushibe kabla ya safari afu uone kama utalaumu

Ule mlo pale ni by the way tu
[emoji1787][emoji1787]
 
Ukitaka ule ushibe,unywe ulewe kupande EMIRATES utainjoi kufa ATCL ni domestic flights huwezi pata vitu classic
Duration ya flight izingatiwe jmn
Regardless of the Airline

Mtu one hour flight anataka awe impressed wee

And coffee maybe they keep it light to suit everyone
Si kila mtu apenda strong coffee

Flights za masaa mengi kweli ht muda wa kuomba ukoleze coffee upo
 
Ukitaka ule ushibe,unywe ulewe kupande EMIRATES utainjoi kufa ATCL ni domestic flights huwezi pata vitu classic
ATCL wana flights nje ya nchi pia
Ila itoshe kusema ni mauza uza
Kuleni nyumbani to enjoy ur flight

Long hauls zaidi ya masaa 5 choose Emirates ama shirika lingine tu
 
Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATC, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia pia kuitangaza kahawa kwa kuhudumia kahawa kwa kiwango cha kimataifa na siyo kahawa ya rangi.
Uliwahi panda precision air? Huduma zao zinatofauti gani?
 
Back
Top Bottom