KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Ushauri mzuriKwangu si one time taste. Nina panda sana, na wakati mwingine saa 11 alfajiri. A best cup of coffee kunichangamsha ni kitu cha kwanza. Sasa unapambana na maji yaliyowekewa kahawa.
Kuhusu ATC kuwa siyo shirika la kahawa napo siyo sahihi. Ile multplier effect iko wapi? Mbona korosho yao ni top class, au hivyo vinywaji including wine ya dodoma na nzuri tu.
Kwa ufahamisho, hili ni shirika letu, na tunalishauri lijipange. Bado naamini wazalishaji wa kahawa bora wanaweza kuwasaidia ikiwa ni eneo la kutangaza na kuboresha huduma yake.
But u can get ur own mug of coffee at home though and drink on ur way to the airport
So u have a pleasant flight later