Ndege za Israel yashambukia uwanja wa ndege wa Sanaa muda huu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media.

The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days.

Earlier this month, also after repeated attacks, Israeli strikes destroyed the airport’s terminal and left craters on its runway, according to Yemeni authorities. The airfield reopened 11 days later.

. .

.
 
Tetesi zinasema Israel inataka ishambulia Iran preemptively
Sio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran

Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
 
Unafikiri Israel wao ni wajinga waishambulie iran kijinga , Israel sio walokole huko makanisani wao ni kuamini Israel ni taifa teule tu
 
Sio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran

Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
Israel atashambulia, hao wengine watamlinda
 
Sio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran

Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
Kobazi mkuu alishashambuliwa na vibinti vya Israel mpaka leo kaufyata
 
Kweli Nasikia Simba wamekata rufaa Bodi ya ligi kusema aliepigana alikuwa Ngoma lkn Refa kampa kadi nyekundu kagoma badala ya Ngoma kwann kachanganya majina au!!!!!!!
 
Sio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran

Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
Wewe kama sio mtoto wa 2000, basi utakua unajua Israel inavyowamaliza waarabu. Hujiulizi Egypt na Saudia nchi zenye nguvu sana huko middle east mbona ziko kimya wakati wapalestina wanachukua kipigo?? Zinaujua muziki wa Israel. Iran ijiandae mitambo yake ya nuklia kua kifusi na kushangaa kapigwaje. Vita vya Yom Kippur hao Egypt na wenzake walivyochukua kichapo cha General Moshe Dayan. Wameshamwambia Trump awaachie wao hio kazi ya kudeal na Iran.
 
Sasa hivi wanamlia timing Iran, kuna siku watamshushia kipigo cha haja..watch this space.
Iran wamesema wamekaa mkao wa kula wanasubiria hiyo siku ifike.
Screenshot_2025-05-28-14-13-05-20_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Iran's Revolutionary Guard: 'Our Finger is on the Trigger'
IRGC Says Has Finger on Trigger for Harsh Response to Enemies - Politics news - Tasnim News Agency
Be careful what you wish for!!!
Iran sio Yemen, sio Lebanon, sio Syria na sio Palestine pia.
 
Back
Top Bottom