Uislamu ndio uswahili hasa. Maneno ya khanga yasiyoisha. Very hopeless indeed.Sio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran
Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao