Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Na ndivyo walivyosema baada ya kushambuliwa October 7. Sasa hivi wanamlia timing Iran, kuna siku watamshushia kipigo cha haja..watch this space.Sawasawa.Wahakikishe juu panafanana na chini ndiyo waondoke.
Inshaallah.Wawabonde hadi wachanganyikiwe.Na ndivyo walivyosema baada ya kushambuliwa October 7. Sasa hivi wanamlia timing Iran, kuna siku watamshushia kipigo cha haja..watch this space.
Hizbollah! kwishney. Na wamewaambia Lebanon hao jamaa wakirudi wanaivamia nchi tena. Hata huko Iran wamemwambia Trump hawahitaji msaada wa US wataenda solo kuwachakaza. Ni suala la muda tu.Inshaallah.Wawabonde hadi wachanganyikiwe.
Sio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia IranTetesi zinasema Israel inataka ishambulia Iran preemptively
Unafikiri Israel wao ni wajinga waishambulie iran kijinga , Israel sio walokole huko makanisani wao ni kuamini Israel ni taifa teule tuSio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran
Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
Wanavyoongea utasema sio hawa panya Road walio kuwa wanawalaza na viatu .Acheni mzaha. Vita siyo simba na yanga
😀😀😀Wanavyoongea utasema sio hawa panya Road walio kuwa wanawalaza na viatu .
Israel atashambulia, hao wengine watamlindaSio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran
Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
Kobazi mkuu alishashambuliwa na vibinti vya Israel mpaka leo kaufyataSio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran
Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
Wewe kama sio mtoto wa 2000, basi utakua unajua Israel inavyowamaliza waarabu. Hujiulizi Egypt na Saudia nchi zenye nguvu sana huko middle east mbona ziko kimya wakati wapalestina wanachukua kipigo?? Zinaujua muziki wa Israel. Iran ijiandae mitambo yake ya nuklia kua kifusi na kushangaa kapigwaje. Vita vya Yom Kippur hao Egypt na wenzake walivyochukua kichapo cha General Moshe Dayan. Wameshamwambia Trump awaachie wao hio kazi ya kudeal na Iran.Sio Israel aishambulie Iran Sema Israel na washirika wake Marekani na uingereza wanataka kuishambulia Iran
Na Iran aneshamwambia Trump Mimi sio kama hao wanamgambo wenu ukirusha kombora kwangu na Mimi nalipua Pentagon Moja Kwa Moja usidhani kuwa nitaishia katika basi zako tu
Nitalipua basi zako na nyumbani kwako pia ndio maana wamefyata mikia yao
Iran wamesema wamekaa mkao wa kula wanasubiria hiyo siku ifike.Sasa hivi wanamlia timing Iran, kuna siku watamshushia kipigo cha haja..watch this space.
Duh!Ipo,lakini,wanatakiwa kudundwa polepole ie kispoti.Hivi hakuna namna ya kuweza kupiga nchi nzima kiberiti ..