Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

Hivi Iran km ameweza kutungua ndege ya USA yenye high technology ya stealth Kwa kombora moja tu hv ashindwe kuziona ndege za Israel ambazo Syria tu anaziona mpk wanakuwa wanashambulia Syria Kwa kukaa kwenye anga ya Lebanon
Lini syria kaangusha ndege ya Israeli labda iwe F-16,Lakini F-35 ni invisible kwenye radar
 
Hivi Iran km ameweza kutungua ndege ya USA yenye high technology ya stealth Kwa kombora moja tu hv ashindwe kuziona ndege za Israel ambazo Syria tu anaziona mpk wanakuwa wanashambulia Syria Kwa kukaa kwenye anga ya Lebanon
Matahila hayo uwezi kubishananao, wenzio wanaamini Israel ndio kazaliwa mungu wao aliyekuwa anakula na kunya
 
Samahani mkuu naomba kuuliza tu kwa nia ya kupata uelewa hivi AIR TANKER ina madirisha??
 
Hivi Iran km ameweza kutungua ndege ya USA yenye high technology ya stealth Kwa kombora moja tu hv ashindwe kuziona ndege za Israel ambazo Syria tu anaziona mpk wanakuwa wanashambulia Syria Kwa kukaa kwenye anga ya Lebanon
Ushakunywa alikasusu yako unakuja kubishana[emoji23]
 
NATO inangojea nn kuacha hayo yote yatendeke
Waende upesi wakamtoe gaidi asiendelee kufanya ugaidi wake
La sivyo wanapenda aendelee na ugaidi wake
RUSSIA kamatia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PROPAGANDA AT IT'S BEST.
 
Hivi Iran km ameweza kutungua ndege ya USA yenye high technology ya stealth Kwa kombora moja tu hv ashindwe kuziona ndege za Israel ambazo Syria tu anaziona mpk wanakuwa wanashambulia Syria Kwa kukaa kwenye anga ya Lebanon
🔨🔨🔨
 
Mwarabu na vita wapi na wapi? waachieni kazi wenye vita zao mtakwisha vibaya nyieeee !! Iran kaa kimya, utii bila shulti haujawahi kuwa unyonge.
 
Waarabu waliwakosea nini! Halafu nani kakuongopea iran ni waarabu!!

Siku zote mwenye chuki huwa anaumbuka vibaya sana, ona ulichokiandika mkuu 😁
 
Mkuu Iran ni wazungu eee ? Pole lakini ila mi najua nchi za kiarabu zote zina mgogoro na wazungu kisa hadi leo hakijulikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…