Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

Mkuu Iran ni wazungu eee ? Pole lakini ila mi najua nchi za kiarabu zote zina mgogoro na wazungu kisa hadi leo hakijulikani.
Kisa mbona kinajulikana mkuu, na daima waarabu hawatakuja kushinda, daima watakuwa chini tu.
 
Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills
London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors
Kwani hizo F-35s ni penis zina penetrate tu
 
Matahila hayo uwezi kubishananao, wenzio wanaamini Israel ndio kazaliwa mungu wao aliyekuwa anakula na kunya
Mungu ni muweza wa yote anaweza kuamua kujibadili kuwa binadamu Akala na kunya bila kupangiwa kwasababu vyote hivyo kaviumba. Siyo big deal kwake. Siyo wa kwenu anajua kiarabu tu.
 
Unamaana RUSSIA hawana hizo ICBM?
 
Mkuu Iran ni wazungu eee ? Pole lakini ila mi najua nchi za kiarabu zote zina mgogoro na wazungu kisa hadi leo hakijulikani.
Bila shaka we'we hata ikitokea wa kukuelekeza Kwamba wairan Wala waturuki si waarabu utabisha..
Nb. Nikusaidie..
Wairan si waarabu Bali wao Ni mafursi katika utambulisho wao kiswahili. Na katika biblia wairan Ni Persians kwa kiingereza.
Kama walivyo waturuki wao si waarabu Bali Ni special race na wanaamini wao Ni Superior zaidi ya waarabu. Na Mara nyingi hujinasibisha na umagharibi.
Lakini pia wairan na waturuki hupenda kujinasibisha na greatness ya kihistoria ya mataifa yao yaani Great Persian Empire na Ottoman Empire ambao wote waliitawala maeneo makubwa ya dunia kipindi kilichopita..
Ingia Google uelimike zaidi
 
Hakuna nchi duniani inayoweza kuikuta Russia kwenye ICBM.
 
London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors
Hili ni zoezi la simulation ya namna ya kwenda kuharibu mali za Urusi
 
Mungu ni muweza wa yote anaweza kuamua kujibadili kuwa binadamu Akala na kunya bila kupangiwa kwasababu vyote hivyo kaviumba. Siyo big deal kwake. Siyo wa kwenu anajua kiarabu tu.
huyo atakuwa mungu,sio Mungu
 
ukiwa wewe sio mkristo lazima utaichukia marekani tuu.nani aliyewaokoa waislamu kule Cosovo aliokuwa wanauwawa na Slobodan Milosevic kama sio mmarekani? nani aliye msweka ndani milosevic mpaka kufia lupango kama sio preasure ya mmarekani. hivi mmarekani awafanyie wema gani ili mmjue ni mleta amani ya kweli hapa duniani?kaangalie wsomalia, bosnia na Cosovo anavyo walea pale minia[polis lakini huachi kumlaumu mmarekani. grow up and wise up buddy!!!
 
Hivi Iran km ameweza kutungua ndege ya USA yenye high technology ya stealth Kwa kombora moja tu hv ashindwe kuziona ndege za Israel ambazo Syria tu anaziona mpk wanakuwa wanashambulia Syria Kwa kukaa kwenye anga ya Lebanon
kama babu wa mababu yao Yakobo aliweza kupigana pale jangwani na mtu asiyemuona walipigana mpaka asubuhi leo hii Israelis kupigana na mtu anyeonekana ni kitu raisi sana kwao kama vile kufungua wallet na kutoa dolla moja! get ma point baddy!
 
Lini syria kaangusha ndege ya Israeli labda iwe F-16,Lakini F-35 ni invisible kwenye radar
usitudanganye ww syria iliitungua f35 ya israel mnayoisifia na f35 is not invisible acheni blee ble blee
 
Mkuu Iran ni wazungu eee ? Pole lakini ila mi najua nchi za kiarabu zote zina mgogoro na wazungu kisa hadi leo hakijulikani.
Iran ni wahajemi ama w persians sambamba na Pakistan na Afghanistan na wengine.Ndio maana wabishi hawatawaliki wale sio waarabu.
 
Acha hizo propaganda ulizolishwa.Nani kakudanganya USA mleta amani?Nani kakudanganya waislam pekee ndio wanawachukia USA?Kuna Belarus,Russia,Venezuela,Cuba wote hao wanachukia USA mbaya mbovu ikiwemo VIetnam,China n.k je hao ni waislam?Libya,Iraq,Syria,vietnam,Yemen n.k nchi zote hizo zimeharibiwa na ufadhili vita wa USA unathubutuje kusema USA mleta amani duniani?
 
kama babu wa mababu yao Yakobo aliweza kupigana pale jangwani na mtu asiyemuona walipigana mpaka asubuhi leo hii Israelis kupigana na mtu anyeonekana ni kitu raisi sana kwao kama vile kufungua wallet na kutoa dolla moja! get ma point baddy!
israel ipi yenye nguvu?israel iliyopigwa milima ya sinai na Egypt mwaka 1973?Israel iliyoaibishwa na kundi la Hizbollah Lebanon 2006?Israel inasaidiwa bajet ya serikali yake na USA kila mwaka pia inapewa msaada wa silaha na USA kila mwaka hata ndege alizotumia kuipiga Syria 1973 mpk kukawepo mkataba wa camp david ni American made.Pasi na USA Israel hana ubavu.
 
Na yule anajua kiarabu tu anayeabudiwa na watu billion mbili kwa bidii na mashindano. Allah bana Yani anawaogopa Hadi wayahudi anashindwa kuwasaidia Palestine licha ya
anaemuogopa mwenzake nani?israel anaogopa wapalestina kiasi cha kufunga mwambao wa bahari wa gaza akihofia wao kupewa silaha ilhali yeye anapewa silaha kedekede na USA.Kama israel kidume aiachie palestine ijitawale na imiliki silaha uone km israel itasalia.waislam kiarabu tumeweka kuwa lugha mama ili ituonganishe pamoja na kitabu cha ALLAH kiwe ktk lugha moja isiyopotosha.sio km biblia watu wakiamua kufoji wanafoji watakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…