Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

Hapo kwenye nguvu za USA...🇺🇸🇺🇸🇺🇸..utapingwa vikali na wahafidhina wenye kuichukia USA.
lee van cliff wa kupuliza Bukyanagandi 1954 Morogoro kaskazini Mathanzua
Bwana Utam
Shalom Israel....🇮🇱🇮🇱🇮🇱
 
Mpe mpe elimu huyo, hii dunia ingetawaliwa na muarabu ingekuwa ni balaa tupu
 
Mpe mpe elimu huyo, hii dunia ingetawaliwa na muarabu ingekuwa ni balaa tupu
naona vita ya kwanza na ya pili ya dunia imesababishwa na waarabu,naona maafa Iraq,yemen,syria,vietnam,libya yamesababishwa na waarabu.
 
huwa anafanya kwa maslshi yake au kwa kuona kuna kitu hkna mashetani wakubwa waharibifu wa ulimwengu kama hao NYANGAU
 
Huyu jamaa akili zake kabakiza za kuvukia barabara tu huyu shetani wa kutupwa muharibifu akawe mlets amani
 
Huyu jamaa akili zake kabakiza za kuvukia barabara tu huyu shetani wa kutupwa muharibifu akawe mlets amani
dah hata mm namshangaa maafa yalotokea ht hapa Africa yalosababishwa na USA sijui hayaoni!?
 
usitudanganye ww syria iliitungua f35 ya israel mnayoisifia na f35 is not invisible acheni blee ble blee
Weka ushahidi hapa. Source ya hii habari. Vinginevyo ni hadithi ni za vijiwe vya kahawa vya huko Mwembe Yanga🤔
 
Weka ushahidi hapa. Source ya hii habari. Vinginevyo ni hadithi ni za vijiwe vya kahawa vya huko Mwembe Yanga🤔
bando unalo ingia aljazeera tafuta utapata hiyo habari.
 
Iran wanatumia mfumo wa kulinda anga wa Urusi
usitudanganye bro IRAN ina mfumo wake wa khordak wa anga haitegemei ya Urusi ht ile drone ya USA walodai ni stealth drone ilidunguliwa na mfumo wa kombora wa khordak
 
usitudanganye bro IRAN ina mfumo wake wa khordak wa anga haitegemei ya Urusi ht ile drone ya USA walodai ni stealth drone ilidunguliwa na mfumo wa kombora wa khordak
Wakati unabishana na mchango wangu umeelewa main post imesema nini????
 
Kuingia bila kutunguliwa pia ni sehemu ya mazoezi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…