Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

Zayuni na mashambulizi yake ya kigaidi.

Iran kavumilia sana , tena kwa miaka mingi makamanda wake kuuawa kila mara na jeshi la Israel.

Aende akarushe hata jiwe hapo Tehran aone muziki wake.

Sasa hivi anabehave kama mhuni fulani hivi.
 
Kiufupi ni kuwa
Wadau hamjamboni nyote?

Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran

Watu saba wameuawa na kumi na moja wamejeruhiwa

Mungu ibariki Israel

Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:

#Iran International

IRGC commander suspected dead after Israeli airstrike in Damascus

An alleged Israeli airstrike near the Iranian embassy in Damascus is believed to have killed Mohammad Reza Fallahzadeh, deputy commander of Iran's Quds Force.

The attack, which took place in the Mezzah district of Damascus, resulted in the deaths of seven, and left 11 others injured, according to Syrian state media. The strike caused damage to nearby buildings, leading to widespread destruction in the area.

While Israel has not publicly commented on the incident, its military has conducted numerous strikes against Iran-linked targets in Syria in recent years. However, this latest attack comes amidst heightened tensions in the region following the October 7 Hamas assault on Israel, which triggered the ongoing Gaza conflict and Iran's proxies around the Jewish state acting in allegiance with the Iran-backed Palestinian group.

Hebrew-language media reports suggested the primary goal was to eliminate Fallahzadeh, with some pointing out the proximity of the targeted building to the Iranian embassy as possible evidence.

Syrian sources added further weight to the claims, noting that the building was only 500 meters from the embassy, a location that has long been seen as a hub of Iranian activity in Syria.
serikali ya Iran ni ya kigaidi. Israel kwa akili kubwa inawapiga viongozi wa Iran kama mfugaji wa kuku anavyokula kuku kwa utaratibu kutoka bandani kwake.
 
Tehran alishatindua kama hujui waulize Hamas kiongozi wao mkuu aliuliwa wapi watakupa jibu.
Umelewa ama tukupe chai ya asali ukate pombe!?
Kifo cha kiongozi wa Hamas ndio kimelipizwa mwezi huu wiki iliyopita.
Je Israel amejibu mashambulizi ya Iran ya wiki iliyopita!?
 
Umelewa ama tukupe chai ya asali ukate pombe!?
Kifo cha kiongozi wa Hamas ndio kimelipizwa mwezi huu wiki iliyopita.
Je Israel amejibu mashambulizi ya Iran ya wiki iliyopita!?
Cha msingi alishatindua Tehran.
 
Cha msingi Iran kamshikisha adabu.
Tunataka aguse tena Iran kama yeye MWANAUME.
Kidume karusha makombora nchini mwake tunataka na yeye alipize.
Kazi ya Israel siyo kulipiza kisasi,ni kutindua kwanza na kuwaachia wenye kazi ya kulipa kisasi waendelee na visasi vyao.
 
Ushaishiwa hoja.
Hao Gaza si aliwalipiza kisasi cha Oktoba 7?
Mbona Iran hawezi?
Tulia we ngedere Israel kazi yake sio kulipiza kisasi ni kupasua halafu vidagaa ndio vinalipiza kisasi sababu Israel ni taifa teule la mungu dunia nzima Hilo tunalijua
 
Tofauti nikwamba Iran inashambulia kwa makombora mengi mfululizo na hayaleti madhara makubwa, ila Israel ikishambulia ndio hivyo inalenga sehemu na madhara yanakuwa makubwa
Iran hawakusudii kuuwa watu wao wanapiga miundombinu ya kijeshi
 
Sasa uliona wapi kambi za Hamas, wao popote wanaweka silaha na kuvurumisha maroketi katikati ya raia
Sio kweli na ushahidi ni baadhi ya mateka ambao waliwahi kuwaachilia walipohojiwa walisema Hamas ni watu wazuri hawakuwahi kuteswa na walipewa chakula pia wakifurahi na kucheza na watoto wao. Kama kuna roketi ilianguka kwa raia ni kwa bahati mbaya sana
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran

Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha vifo vya watu saba, na kuwaacha wengine 11 kujeruhiwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali ya Syria. Mgomo huo ulisababisha uharibifu wa majengo ya karibu na kusababisha uharibifu mkubwa katika eneo hilo.

Ingawa Israel haijatoa maoni yake hadharani kuhusu tukio hilo, jeshi lake limefanya mashambulizi mengi dhidi ya walengwa wanaohusishwa na Iran nchini Syria katika miaka ya hivi karibuni.

Hata hivyo, shambulio hili la hivi punde linakuja huku kukiwa na mvutano mkubwa katika eneo hilo kufuatia shambulio la Oktoba 7 la Hamas dhidi ya Israel, ambalo lilianzisha mzozo unaoendelea wa Gaza na washirika wa Iran wanaozunguka taifa la Kiyahudi wanaofanya utiifu na kundi la Palestina linaloungwa mkono na Iran.

Ripoti za vyombo vya habari vya lugha ya Kiebrania zilipendekeza lengo la msingi lilikuwa ni kumuondoa Fallahzadeh, huku baadhi zikionyesha ukaribu wa jengo lililolengwa na ubalozi wa Iran kama ushahidi unaowezekana.

Vyanzo vya Syria viliongeza uzito zaidi kwa madai hayo, vikibainisha kuwa jengo hilo lilikuwa mita 500 tu kutoka kwa ubalozi huo, eneo ambalo kwa muda mrefu limeonekana kuwa kitovu cha shughuli za Iran nchini Syria.

Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:

==========================================================

IRGC commander suspected dead after Israeli airstrike in Damascus

An alleged Israeli airstrike near the Iranian embassy in Damascus is believed to have killed Mohammad Reza Fallahzadeh, deputy commander of Iran's Quds Force.

The attack, which took place in the Mezzah district of Damascus, resulted in the deaths of seven, and left 11 others injured, according to Syrian state media. The strike caused damage to nearby buildings, leading to widespread destruction in the area.

While Israel has not publicly commented on the incident, its military has conducted numerous strikes against Iran-linked targets in Syria in recent years. However, this latest attack comes amidst heightened tensions in the region following the October 7 Hamas assault on Israel, which triggered the ongoing Gaza conflict and Iran's proxies around the Jewish state acting in allegiance with the Iran-backed Palestinian group.

Hebrew-language media reports suggested the primary goal was to eliminate Fallahzadeh, with some pointing out the proximity of the targeted building to the Iranian embassy as possible evidence.

Syrian sources added further weight to the claims, noting that the building was only 500 meters from the embassy, a location that has long been seen as a hub of Iranian activity in Syria.
na iran hawezi kufanya chochote kwa sababu bado amelala chini anasubiri achapwe kiboko chake. hapo ndipo israel alipomwekea mtego na kumtesa kisaikolojia. israel sasa yupo huru kufanya chochote na iran hawezi kusema wala kuleta chokochoko, kwani hadi sasa ana kesi anayotakiwa kupigwa viboko ndio mambo mengine yaendelee.
 
Mambo makubwa ya Yom Kippur, tarehe 11 hadi 12 October 2024 kwa masaa 25 yanafanyika mambo ya kiimani ya ndani kwa Wayahudi wote, kisha kurudi kutekeleza mambo mengine ya kidunia bila hasira wala mihemuko

Yom Kippur 2024​

Fasting times, prayer schedules, and customs for the holiest day in the Jewish calendar.​

By ILH Staff

Published on 10-10-2024 09:30
Last modified: 10-10-2024 17:04

Comprehensive guide for Yom Kippur 2024
The shofar blowing on Yom Kippur is one of the central moments of the holy day, symbolizing the end of the fast and the conclusion of the Day of Judgment | Photo: Mark Neyman
 
Sio kweli na ushahidi ni baadhi ya mateka ambao waliwahi kuwaachilia walipohojiwa walisema Hamas ni watu wazuri hawakuwahi kuteswa na walipewa chakula pia wakifurahi na kucheza na watoto wao. Kama kuna roketi ilianguka kwa raia ni kwa bahati mbaya sana
Ni pale mbongo akiwatetea magaidi
 
Back
Top Bottom